Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mikopo ya biashara ipo but iko very complicated.mkopo rahisi kuchukua ni wa kutumia gari au kiwanja iwe dhamana yako.Hello buddies
Naomba kuuliza kama kuna entity yoyte au group fulan or individual ambayo wanaoffer loan kwa pharmacies business, nina uhitaji huo
Kuna sehem niliwah kupelekwa maeneo ya oysterbay/mbuyuni maeneo ya best bite ila nimesahau kidogo jina la kampuni.Mkuu taasisi gani wanakopesha kwa dhamana ya gari??
Poa poa mkuu.Kuna sehem niliwah kupelekwa maeneo ya oysterbay/mbuyuni maeneo ya best bite ila nimesahau kidogo jina la kampuni.
Halaf uzur wao wenyewe wanachukua kadi gari yako wanakuachia.