Business Opportunity kuwa ISP Mikoani na Wilayani

Allien

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2008
Posts
5,546
Reaction score
1,861
INFORMATION NO. 2

- Kwa wale wanaofuatilia, habari ni kuwa SEACOM SUBMARINE OPTIC FIBER iko LIVE toka Thursday 23rd July 2009.

- Dodoma imeunganishwa tayari kupitia Fiber ya TANESCO (Hakuna confirmation kama wako LIVE)

- Chuo Kikuu cha DSM tayari nao wameunganishwa (Hakuna confirmation kama wako LIVE)

- Kampuni hii ambayo ina-Offer Business Opportunity imekuwa ISP ya kwanza kujiunga katika mtandao wa SEACOM kutoka katika Distribution Hub pale TTCL Kijitonyama.

- Kama kila kitu kikienda sawa Technical, wateja wa DSM watakuwa LIVE on SEACOM from next week or first week of August.

- Kwa wenye mahitaji ya kuanzia 256 Kbps unaweza kuni-PM kama uko DSM nitakupatia utaratibu wa kuunganishwa.


INFORMATION No.1


Nafasi ya Biashara Kwa Walioko Mikoani na Wilayani
  • Je unao ujuzi wa ICT na hasa katika mambo ya Connectivity na uko mikoani au wilayani?
  • Je unayo Interest ya kufanya biashara ya kuwa na ISP (Internet Service Provider) katika eneo husika?
  • Je uko tayari kupata mafunzo juu ya Products na Solutions na kufanya Marketing na Sales?
  • Je uko tayari Ku-Invest katika Basic Infrastructure za ISP huko mikoani?
  • Je unaweza kupata wateja wa kuanzia kati ya 20-50? Mmoja moja au kampuni?
  • Je uko tayari kupata mapato (Kuingiza Pesa) kila mwezi itokanayo na malipo ya Bandwidth na hivyo kujiingizia mapato ya uhakika kutoka kwa wateja wako? Pia utauza Equipment kwa Wateja kwa faida.
Kama jibu lako ni ndiyo, basi ni PM nitakutumia email yangu ili unitumie company profile yako au business proposal.

Kampuni utakayofanya nayo partnership mchango ufuatao:

  • Mafunzo ya Products na Solutions (Technical and Sales)
  • Itakusaidia ku-Setup Infrastructures za ISP Mikoani au Wilayani.
  • Itakuuzia Equipment kwa bei ya chini kabisa ya Partners
  • Itakupa Bandwidth kuendana na mahitaji ya wateja yako na na utalipia kila mwezi.
Products na Solutions za Kuuza:

  • Internet kupitia Technology ya VSAT
  • Internet Kupitia Technology ya Wireless
  • Mobile Internet Kupitia Technology ya CDMA
  • Video Conferencing
  • TV/Radio Broadcasting Solutions
  • Voice Over IP
  • Data Solutions kupitia VSAT na Internet
  • Kwa sehemu zinazofikika na Fiber - Internet Kupitia Submarine Optic Fiber ya SEACOM Kuanzia Mwezi July/August 2009.
  • Digital Radio Calls Communication Systems (TETRA)
kama utakuwa Interested basi ni PM nitakutumie email yangu ili unitumie company profile yako au business proposal. Baada ya hapo nitakutumia Partnership Business Proposal.
 
Hii imekaa poa!! hope watu wataichangamkia!

Mkuu;

Huu ni mchakato wa kuifanya nchi yetu ifikike kwa mfumo wa ICT na kwa hakika kwa wale walio serious ni biashara makini sana.

Tuko tayari kusaidiana.
 
Our company is very much interested please send us more details using info(at)tutandae(dot)co.tz
 

Pliz send info to me thru marydm88(at)yahoo(dot)com. i real love it.
 
Mkuu Sikulkifika, all relevant information has been sent.

kuwa isp provider mikoani kunahitaji capital kiasi gani ie tanga, kilimanjaro et al
naomba unitumie info sipo bongo kuna mtu nilikuwa na ishu naye kuhusu hayo mambo
 
Imekaa vizuri hii mkuu,naomba unitumie info zote thru davis_jonestz(at)yahoo(dot)com...1
 
 
Mkuu, tuko pamoja. Information zimeshatumwa kwako.

Check Email ID yako. Iko sawa Mkuu?
Iko sawa mkuu ni davis_jonestz(at)yahoo(dot)com au kama vp tuma kwenda davisjrtz[at]gmail[dot]com
 
Tayari mkuu nimezipata ndo nazipitia...Ubarikiwe sana Mkuu

Tuko pamoja Mkuu.

End of July/August watakuwa live katika backbone ya SEACOM kwa DSM. Then September/October watakuwa connected pia TEAMS Submarine Fiber for DSM.

Fiber kwenda mikoani bado kitendawili. By August itakuwa imejulikana.
 
Hii iko poa mazee.Please, nidondoshee zaidi hapa jarvis418{at}gmail{dot}com
 
Hii iko poa mazee.Please, nidondoshee zaidi hapa [/quote]

All done Mkuu!

Wameshakutumia.

[SIZE=3][COLOR=red][B]Today Seacom are testing LIVE to London! Get Ready For Fast Intenet, Capacity and Low Cost![/B][/COLOR][/SIZE]
 
I am very much interested please send me more details at tangamano[at]gmail[dot]com
 
Kindly put the information and requirements here in brief to create more interests as well
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…