Allien
JF-Expert Member
- Jul 6, 2008
- 5,546
- 1,861
INFORMATION NO. 2
- Kwa wale wanaofuatilia, habari ni kuwa SEACOM SUBMARINE OPTIC FIBER iko LIVE toka Thursday 23rd July 2009.
- Dodoma imeunganishwa tayari kupitia Fiber ya TANESCO (Hakuna confirmation kama wako LIVE)
- Chuo Kikuu cha DSM tayari nao wameunganishwa (Hakuna confirmation kama wako LIVE)
- Kampuni hii ambayo ina-Offer Business Opportunity imekuwa ISP ya kwanza kujiunga katika mtandao wa SEACOM kutoka katika Distribution Hub pale TTCL Kijitonyama.
- Kama kila kitu kikienda sawa Technical, wateja wa DSM watakuwa LIVE on SEACOM from next week or first week of August.
- Kwa wenye mahitaji ya kuanzia 256 Kbps unaweza kuni-PM kama uko DSM nitakupatia utaratibu wa kuunganishwa.
INFORMATION No.1
Nafasi ya Biashara Kwa Walioko Mikoani na Wilayani
Kampuni utakayofanya nayo partnership mchango ufuatao:

- Je unao ujuzi wa ICT na hasa katika mambo ya Connectivity na uko mikoani au wilayani?
- Je unayo Interest ya kufanya biashara ya kuwa na ISP (Internet Service Provider) katika eneo husika?
- Je uko tayari kupata mafunzo juu ya Products na Solutions na kufanya Marketing na Sales?
- Je uko tayari Ku-Invest katika Basic Infrastructure za ISP huko mikoani?
- Je unaweza kupata wateja wa kuanzia kati ya 20-50? Mmoja moja au kampuni?
- Je uko tayari kupata mapato (Kuingiza Pesa) kila mwezi itokanayo na malipo ya Bandwidth na hivyo kujiingizia mapato ya uhakika kutoka kwa wateja wako? Pia utauza Equipment kwa Wateja kwa faida.
Kampuni utakayofanya nayo partnership mchango ufuatao:
- Mafunzo ya Products na Solutions (Technical and Sales)
- Itakusaidia ku-Setup Infrastructures za ISP Mikoani au Wilayani.
- Itakuuzia Equipment kwa bei ya chini kabisa ya Partners
- Itakupa Bandwidth kuendana na mahitaji ya wateja yako na na utalipia kila mwezi.
- Internet kupitia Technology ya VSAT
- Internet Kupitia Technology ya Wireless
- Mobile Internet Kupitia Technology ya CDMA
- Video Conferencing
- TV/Radio Broadcasting Solutions
- Voice Over IP
- Data Solutions kupitia VSAT na Internet
- Kwa sehemu zinazofikika na Fiber - Internet Kupitia Submarine Optic Fiber ya SEACOM Kuanzia Mwezi July/August 2009.
- Digital Radio Calls Communication Systems (TETRA)