Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,496
Duh nina miaka sijaona condenced milk, Nido na cowbell ni powdered milk. Condenced milk ni liuji la maziwa zito sana zamani zilikuwa kwenye vijikopo hivi lkn sijaziona madukani kwa muda mrefu sana over 10 years.
Shida ilikuwa ukishatoboa kopo, kama huna fridge basi kasheshe. Sijui sasa wanapakije.
Sisi wa juzi hatujaona hiko kitu.
Nadhani kwenye kupakia ni kwamba wanapunguza maji kwenye maziwa hadi yanakaribia kukauka ndo unabaki uji