Business Partner are needed

Business Partner are needed

BigThinker

Member
Joined
Dec 9, 2020
Posts
23
Reaction score
4
Habari wana jamii!

Nina business idea ya app ya matangazo kama KUPATANA AU JIJI , ila hii idea yangu iko tofauti kidogo na iko very niche. Nahitaji business partner 1 mwenye 2M au 2 wawili kila mmoja ana 1M, na kila mmoja nitampa share ya 40% na 20% nachukua mimi kama mbeba maono.

Kama upo dar ingekuwa poa sana ili tuweze kuonana tuongee vizuri kuhusu hii biashara na namna ambayo tutavyofanya hii biashara.

Mkataba wa kisheria ni lazima sifanyi biashara kienyeji.

contact me : benishogilbert2020@gmail.com


Karibu tubadilishe Tanzania kwenye biashara ya matangazo na kukuza uchumi wa nchi kwa pamoja.
 
One time nitakidhi vigezo vya kua ANGEL INVESTOR. Na wale wenzangu tunaopenda tuzidi kumuomba MUNGU atufanikishe tusolve matatizo kama haya.
 
Kama twaweka hela, we hope ushadevelop system yes or no?
 
Back
Top Bottom