mtafutaji2016
Senior Member
- Jun 19, 2016
- 105
- 46
Uko mbeya?huku bwana kuna kutoa mazao vijijini na kuleta mjini pesa ipo ila mtaji unone kidogo,biashara ya bar mbeya sikuizi kuna walevi sana kama zilivyo gest nyingi basi na bar zinatakiwa kuwa nyingi,biashara za huduma kama usafirishaji hasa bajaji ndio ipo sokoni sana nayo kwa mbeya mjini hapa,
hapa mjini vyuo vpo vingi unaweza kuwekeza kwenye chakula kuwauzia wanafunzi na wapita njia hapa inahitajika ubunifu tu ili kuwavuta wake kwako,biashara ya nguo pia
no sipo mbeyaUko mbeya kaka?
Nichekii
Uko mbeya?
Aiseee naogopa sana ke kufanya nao biashara ila mi nipo mbeya na nmeanza project fulan hvi nahitaji sana partner. Npo kiwilaMbeya mjini jinsia ya kike mkuu
Mimi Niko mbeya na biashara zipo za aina nyingi na zinalipa Ila naomba mtambue biashara Kubwa mbeya na maeneo yanayozunguka ni kilimo. Kwa asilimia Kubwa wakazi wa mbeya Hata kama ana shughuli nyingine mfano ameajiriwa lazima atajishughulisha na kilimo pia. Sasa tukisema kilimo ni kipana, kuna Kulima kwa kupanda na kuvuna, kuuza pembejeo za aina mbalimbali, kuna shughuli za mashine za kilimo kama Kulima mashamba ya watu kwa kutumia trekta au kubota na wao kukulipa kwa ekari ulizowalimia, kuna kununua Mazao kipindi cha kuvuna bei akiwa chini na kuifadhi Mpaka kipindi bei Zimepanda unauza nk.
Biashara zingine zote zinategemea kilimo na misimu yake. Kwa wale wanaotaka kuja mbeya na kufanya biashara karibuni tubadilishane mawazo kutokana na uzoefu tulionao.
Aiseee naogopa sana ke kufanya nao biashara ila mi nipo mbeya na nmeanza project fulan hvi nahitaji sana partner. Npo kiwila
Ungeweka at least direction ya biashara unazozifikiria ili uweze ku attract watu sahihi. Niko Mbeya na ni msaka pesa
Usiogope mnaandikishana kabisa ila ukifanya kienyeji hachelewi kukurembulia mwisho wa siku unakula mzigo biashara chaliiiAiseee naogopa sana ke kufanya nao biashara ila mi nipo mbeya na nmeanza project fulan hvi nahitaji sana partner. Npo kiwila
Wewe wazo lako ni lipi na mtaji wako ni kiasi gani?Asante mkuu ila kilimo bado sijafikiria mkuu
Usiogope mnaandikishana kabisa ila ukifanya kienyeji hachelewi kukurembulia mwisho wa siku unakula mzigo biashara chaliii