Business partner mwenye mtaji usio chini ya milioni 10

The bump

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2019
Posts
1,488
Reaction score
2,908
Binafsi ni mfanyabiashara ninaetafuta msaidizi tutakaesaidia a hii biashara ninayoifanya.

Ni biashara Ndogo lakini inafanywa kwa ukubwa hivyo inahitaji Mtaji lakini zaidi usimamizi wa Jicho kwa Jicho.

Partner ninae mtaka tutashirikiana katika Biashara.

Faida Tutagawana Half Half

Usimamizi wa Biashara nategemea atakua yeye kwani binafsi nina mambo mengine nafanya hivyo yeye atakua akiwa kama moja ya Wauzaji wa Bidhaa tunazo/ziuza.

Mtaji usiwe chini ya 10m
Uwe Tayari kukaa ofisini

Partner ambae unataka ku invest pesa tu ukae ofisini usubiri Faida HAPANA,Nahtaji mtu tutakae kuwa nae FRONT. kwa PAMOJA kusuia upotevu wa pesa kwa wafanyakazi.

BIASHARA hii sio Mpya ni endelevu hivyo mchanganuo wake kwa atakaekua serious tuonane PM.

Mkazi ni LAZIMA uwe DAR/MAKUMBUSHO ndipo DUKA/OFISI ilipo.

Karibu ujioneee ofisi na kisha ufanye maamuzi sahihi.

PM ipo wazi kwa atakae kuwa interested.

KARIBU
 
Watu watakuwa wazembe wasipojitokeza hili ni fulsa hadimu sana.
 
Hayo mambo mengine utakayokuwa unafanya ni yako binafsi ama ni ya biashara ya pamoja?

Maana umesema utakuwa na mambo mengine unafanya. Lakini hutaki kwa namna yeyote ambaye ataweka pesa tu na kupotea kusubiri gawio.
 
Nawekeza Pesa yangu lakini shurti niwepo full time.
Wewe umeweka zako ila hupo una mambo yako.
Aliekuambia mimi sina yangu mengine nani?
'Nafikiria kwa makelele'
 
Binafsi ni mfanyabiashara ninaetafuta msaidizi tutakaesaidia a hii biashara ninayoifanya.

Ni biashara Ndogo lakini inafanywa kwa ukubwa hivyo inahitaji Mtaji lakini zaidi usimamizi wa Jicho kwa Jicho.

Partner ninae mtaka tutashirikiana katika Biashara.

Faida Tutagawana Half Half

Usimamizi wa Biashara nategemea atakua yeye kwani binafsi nina mambo mengine nafanya hivyo yeye atakua akiwa kama moja ya Wauzaji wa Bidhaa tunazo/ziuza.

Mtaji usiwe chini ya 10m
Uwe Tayari kukaa ofisini

Partner ambae unataka ku invest pesa tu ukae ofisini usubiri Faida HAPANA,Nahtaji mtu tutakae kuwa nae FRONT. kwa PAMOJA kusuia upotevu wa pesa kwa wafanyakazi.

BIASHARA hii sio Mpya ni endelevu hivyo mchanganuo wake kwa atakaekua serious tuonane PM.

Mkazi ni LAZIMA uwe DAR/MAKUMBUSHO ndipo DUKA/OFISI ilipo.

Karibu ujioneee ofisi na kisha ufanye maamuzi sahihi.

PM ipo wazi kwa atakae kuwa interested.

KARIBU
cc@CONTROLA
cc Issuna
Hawa watu jaribu kuwacheki mmojawapo anaweza kufanya kazi nawe[emoji23][emoji23]..

Na bado
 
Kwa wanao Uliza Biashara Gani, hamna hata mmoja nimemwambia zaidi ya kuwambia walionserious wafike eneo la biashara waione.

Sitegemei kumwambia mtu aina ya biashara kama hatoamua kusimama alipo na kufika Eneo la Tukio, Tuwe Serious Ndugu Zangu si Kila Kitu ni cha kuulizana.

Naomba watakaohutaji Kufika OFISINI nipo tayari kuwaelekeza ila mliokaa sehemu mmetulia mnauliza aina gani ya biashara ili kuchorana binafsi nawaelewa aina hiyo ya watu hivyo sitowatajia.

Ulie SERIOUS karibu ofisini lets Meet Face to Face.
 
Kwa lugha nyingine ni kwamba unatafta meneja wa biashara yako,
Kigezo muhimu aweze kuchangia 10ml.
its like kama unakuja kuja lakini haipo hivyo maana hata sasa ninaweza manage na hamna kilichomiss.

ni swala tu la kupeana fursa, na kukumbuka kuwa Ukitaka Kufanikiwa zaidi Tafuta Wa kwenda Nae.
 
Binafsi ni mfanyabiashara ninaetafuta msaidizi tutakaesaidia a hii biashara ninayoifanya.

Ni biashara Ndogo lakini inafanywa kwa ukubwa hivyo inahitaji Mtaji lakini zaidi usimamizi wa Jicho kwa Jicho.

Partner ninae mtaka tutashirikiana katika Biashara.

Faida Tutagawana Half Half

Usimamizi wa Biashara nategemea atakua yeye kwani binafsi nina mambo mengine nafanya hivyo yeye atakua akiwa kama moja ya Wauzaji wa Bidhaa tunazo/ziuza.

Mtaji usiwe chini ya 10m
Uwe Tayari kukaa ofisini

Partner ambae unataka ku invest pesa tu ukae ofisini usubiri Faida HAPANA,Nahtaji mtu tutakae kuwa nae FRONT. kwa PAMOJA kusuia upotevu wa pesa kwa wafanyakazi.

BIASHARA hii sio Mpya ni endelevu hivyo mchanganuo wake kwa atakaekua serious tuonane PM.

Mkazi ni LAZIMA uwe DAR/MAKUMBUSHO ndipo DUKA/OFISI ilipo.

Karibu ujioneee ofisi na kisha ufanye maamuzi sahihi.

PM ipo wazi kwa atakae kuwa interested.

KARIBUmuwekege namba za, simu...
 
Watu watakuwa wazembe wasipojitokeza hili ni fulsa hadimu sana.
Hadimu [emoji777]

Adimu [emoji3581]

Kiswahili mlikuwa mnafundishwa na mwalimu gani? [emoji19][emoji19][emoji19]
 
Wewe ufanye mambo yako mengine alafu partiner wako akae dukani 24/7, is it akili au matope? Hebu nenda kawaze upya uje na uzi ulioshiba zaidi...

Ungesema unatafuta meneja hapo sawa ila sio hizo sarakasi za parakatatumba
 
Hayo mambo mengine utakayokuwa unafanya ni yako binafsi ama ni ya biashara ya pamoja?

Maana umesema utakuwa na mambo mengine unafanya. Lakini hutaki kwa namna yeyote ambaye ataweka pesa tu na kupotea kusubiri gawio.
Yaan hataki mtu mwenye shughuli zingine kama yeye.. nachokiona ana shughuli zingine na watu aliowaajiri wanamzingua akipata patner alieweka pesa anajua atapambana

Ndo maana hataki mtu mwenye mambo mengi kaama yeye anataka ambaye ataendesha biashara yeye aendelee na mitikasi mingine
 
Back
Top Bottom