mayome
Member
- Jan 17, 2012
- 62
- 21
Habari zenu wanajamii wenzangu
Mimi ni kijana wakiume kwa sasa Shughuli yangu ni usindikaji vinywaji vyenye vileo ( pombe). Katika biashara yangu hii changamoto kubwa ambayo naipata ni ufinyu wa mtaji nilio nao na hivyo kunifanya nishindwe kujitanua na kufanya vizuri zaidi kwenye biashara. Kufuatia changamoto hiyo nimeamua kutafuta mtu/watu wenye pesa au uwezo wa kukopa ili tushirikiane.
Kwa yeyote alie tayari mambo ya muhimu hapa ni kama ifuatavyo:-
NOTE: Tafadhalini wana jamii hili tangazo niliwahi kuliweka hapa lakini niliishia kusumbuliwa kwa coments zenye maswali mengi yaliyonitaka kujibu na wengine walituma private massages lakini hawakua sereous. Naombeni kama unaona post sio ya aina yako huna haja ya reply/comment, tambua kua hauwezi kua mjuaji wa kila kitu na pia upo kwenye uwanja wa GREAT THINKERS jaribu kua objective.

- Bidhaa inayotengenezwa ni kilevi ( POMBE) kwa hiyo usiwe na pingamizi kiimani. Vile vile bidhaa imekua sokoni kwa miezi mine tu hadi sasa.
- Biashara iko MBEYA MJINI TANZANIA ,Kama partner unaweza kushiriki katika uendeshaji wa biashara au usishiriki tegemeana na nafasi yako.
- Unahitaji kua na mtaji wa shilingi za Tanzania Million hamsini hadi milioni mia mbili (50,000,000/= to 200,000,000/=)
- Kwa yule ambaye hana pesa lakini ana Dhamana ya kuweza kupata mkopo anakaribishwa kwakua kuna mpango wa biashara/business plan ambayo tayari imeandaliwa.