hahah, nimejikuta nacheka tu. Hadi wewe!Niko hapa mie, niko Dar pia.
Ilimradi tu kuwakera walimu 😃😃😃Ina maana milioni moja na laki mbili kwa mwezi mkiwa wawili, mshahara wa mwalimu miezi miwili,
Hongereni
nipo mahala malighafi inapatikana, najua siwezi simamia mwenyewe pande zote, somewhere hapo katikati efficiency itaondoka tu. Ni bora mwingine apambane na distribution. na kwakuwa Dar mji kubwa kila mmoja anaweza jikita kwako. Atayeweka Distribution point Tegeta, hawezi ingiliana na atayeweka distribution point Sinza.Mimi nitasimama upande wa upatikanaji wa mzigo hadi kuufikia mzigo Dar.
uko vzr pot
wapo watu hiyo ni faida kwa week kwa vibiashara hivi vidogo vidogo tu, kupanga ni kuchagua, unaweza ukawa mwalimu ila ukawa na side hustles zako kitaa na mambo yakaenda tu.Ina maana milioni moja na laki mbili kwa mwezi mkiwa wawili, mshahara wa mwalimu miezi miwili,
Hongereni
karibu.Niko hapa mie, niko Dar pia.
nipo mahala malighafi inapatikana, najua siwezi simamia mwenyewe pande zote, somewhere hapo katikati efficiency itaondoka tu. Ni bora mwingine apambane na distribution. na kwakuwa Dar mji kubwa kila mmoja anaweza jikita kwako. Atayeweka Distribution point Tegeta, hawezi ingiliana na atayeweka distribution point Sinza.
500ltrs-1000ltrs kwa sikuUnaweza leta lita ngapi kwa siku?
wazo zuri, litafanyiwa kazi.Pia unaweza geuza wazo lako ukasema inatafuta mteja wa kumuuzia maziwa kwa jumla na ukaweka bei unaweza pata wateja wakutosha, kikubwa bei kuwa rafiki na ubora
wazo zuri, litafanyiwa kazi.Pia unaweza geuza wazo lako ukasema inatafuta mteja wa kumuuzia maziwa kwa jumla na ukaweka bei unaweza pata wateja wakutosha, kikubwa bei kuwa rafiki na ubora
Plan ni kuuzwa kuanzia lita 1,000/= kwa week.
- Wanahitajika business partners wawili hadi watatu.
- Biashara ya kuuza Maziwa Fresh na Mtindi.
- Biashara itakuwa jumla na reja reja.
- Vyema ukiwa unaishi Dar es salaam.
- Mimi nitasimama upande wa upatikanaji wa mzigo hadi kuufikia mzigo Dar.
- Partners watasimamia usambazwaji wa mzigo Dar es salaam.
- Mtaji atleast TSH 3,000,000/=.
Kila lita ina gross profit ya Tsh 800/= ambayo inaweza leta net profit ya Sh 600/= ambayo ni TSh 600,000/= kwa kila week.
Wote mnakaribishwa.