Business plan ilikubalika

Business plan ilikubalika

JAY MTAALAM

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
1,595
Reaction score
1,388
Waungwana poleni na majukumu!,nakusudia kuanza harakati naomba tujulishane nani amewahi kupata mtaji kamili au kuongezewa mtaji na taasisi ya fedha kupitia 'Business Plan' yake au ndo zimebakia kabatini,karibuni..
 
Waungwana poleni na majukumu!,nakusudia kuanza harakati naomba tujulishane nani amewahi kupata mtaji kamili au kuongezewa mtaji na taasisi ya fedha kupitia 'Business Plan' yake au ndo zimebakia kabatini,karibuni..
Kwa mwaka huu nilijaaliwa kupata kazi za kuwaandikia business plan kampuni nyingi, lakininhizo tatu tofauti nipo nazo karibu sana katika kuzihudumia kwa kazi za kila leo!
1. Kampuni 2 zilikuwa za kupanua biashara zaidi ambazo moja ilikuwa ya kuombea mkopo wa mil 600 ilipita na kampuni hii tayari inatumia hii business plan niliyooindika na ushauri wetu. Kampuni ya pili nayo iliomba mil 200 ipo katika kamati ikijadiliwa
2. Business plan nyingine ni ya biashara mpya, ie kampuni hii toka kusajiliwa mpaka kupita kwa business plan katika maeneo makuu mawili ya kiuwezeshaji na kuwa na shea ndani yake umefanywa na I-Business Consult. Upande wa kwanza ni serikalini ambao imepitishwa lakini kwa kiwango cha pesa cha mil 50, na upande wa taasisi binafsi tayari wapo katika mchakato wa kuleta mashine zote Tanzania. Thamani ya mashine zote ilikuwa $19800 hv na senti kidogo. Mradi huu gharama yake ilikuwa mil 70. Hivyo naona mafanikio kwa mujibu wa mleta mada kuwa business plan zimekubalika
 
Na je business plan inakuwa valid au expired kwa muda gani?
 
Expire ya bplan inategemea kama ulikuwa na fixed start date, but with projection nyingine huwa 3, 5, even 10 years. So start date kama ni mradi Mpya itategemea mradi utapakuwa funded.
 
Back
Top Bottom