JAY MTAALAM
JF-Expert Member
- Oct 5, 2014
- 1,595
- 1,388
Kwa mwaka huu nilijaaliwa kupata kazi za kuwaandikia business plan kampuni nyingi, lakininhizo tatu tofauti nipo nazo karibu sana katika kuzihudumia kwa kazi za kila leo!Waungwana poleni na majukumu!,nakusudia kuanza harakati naomba tujulishane nani amewahi kupata mtaji kamili au kuongezewa mtaji na taasisi ya fedha kupitia 'Business Plan' yake au ndo zimebakia kabatini,karibuni..