theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,748
- 15,681
Kama kuna swali lolote waweza uliza nitakujibu ipasavyo....
Karibuni....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jaribu ku download hiyo picha inaonekana vizuri mkuu...Hizo figures hujaziweka vizuri au ni macho yangu? Otherwise iko poa poa
hii imekaa njema ... Ukiweza tuwekee na ya layers mkuu...Jaribu ku download hiyo picha inaonekana vizuri mkuu...
Usijali kiongozi....hii imekaa njema ... Ukiweza tuwekee na ya layers mkuu...
Ipo vizuri.![]()
Kama kuna swali lolote waweza uliza nitakujibu ipasavyo....
Karibuni....
Ahsante kwa kuongeza maarifa mkuuIpo vizuri.
Ila kwa kukusaidia au kuongeza kidogo.
Gharama ya banda ni vizuri ikaongezwa.
Pia ni lazima ujue specifications na aina ya banda, upatikanaji wa maji (kama ni ya kununua kwenye mkokoteni au una infrastructure ya kuvuta maji karibu na banda). Pamoja na heat & lightining cost kutokana na eneo na aina ya banda.
Disposal costs au uta-recover na kuuza kama mbolea kama utatumia cages.
Depreciation na maintenance cost ya farm structures na implements kama feeders na drinkers, building materials, light bulbs etc.. hiyo una-add kwenye cost.
Mradi wa kuku 500 probably kwa dar es salaam utaanza kukupa faida baada ya miezi nane mpaka mwaka. Depending on the business model.
Kwa hiyo, nadhani gharama ya banda ni muhimu sana iwe kwenye business model/plan, kwa sababu banda kwenye mifugo ndiyo linaloleta tofauti kubwa kwenye kupata faida.
Tunaisubiri ndugu au umejisahau??Usijali kiongozi....
Soon nitaiweka humu ndani....
Imekaa poa sana mkuu. Inanifaaa sana![]()
Kama kuna swali lolote waweza uliza nitakujibu ipasavyo....
Karibuni....
-The selling price is a little bit overestimated, it ranges from 5,500/- to 6,000/-
-Some items are used more than once, therefore you need to charge only depreciation. Things like feeders and drinkers as well as the omitted cage depreciation.
- Costs for lightning have not been included, be electricity bill, solar depreciation estimates or kerosene depending on situation at hand.
- Though it does not have monetary effect, but the ratio of broiler starter feeds and finisher should be reconsidered. in most cases it is equal portions.
- Lastly, I like it because it is useful for a starter to gasp financial implication of an undertaking.
drinkers + feeders vinatumika mara moja tu?

Tupatie basi fursa inayoingiza pesa chap chap.Faida ndogo saana ukilinganisha na muda utakaosubir