Business Portal kwa ajili ya kuombea leseni bado inafanya kazi

Business Portal kwa ajili ya kuombea leseni bado inafanya kazi

shirowise

Member
Joined
Jul 24, 2007
Posts
26
Reaction score
21
Wana Forum ningependa kujua kama hii Business Portal Kama bado inatumika kuombea leseni.


Nimejaribu kufanya application haitoi majibu. Nafahamu fedha nyingi imetumika kutengeneza hii portal na imefanya kazi kwa mda mfupi tu na tumerudi kulekule kwenye manual.

Serikali inajitahidi lakini kuna watendaji wachache wanaiangusha kwa kuangalia maslahi yao binafsi!
 
Back
Top Bottom