Good idea [emoji122] [emoji122] [emoji122]hello JF,
kuelekea uchumi wa kati......
ningependa kuona wizara ya kilimo,biashara na science/technology....
wanakua na watu wao,
wa kusaidia watu,wanaotaka kuanzisha biashara zao kwenye hizo sectors
watu wakitaka kufungua business......
wapewe initial guidance...
na pengine kuwa link na potential investors....
Lakini mkuu, halazimishwi kwenda huko ni hiari yako mwenyewe au sio?[emoji122][emoji122][emoji122]
Pia serikali iwabane hao wanaojiita sijui nn speakers....kuwatumia wenzao kama mtaji,
Kiukweli elimu inahitajika sana tena kubwa kwenye hizo sekta hasa kwa vijana wanaotaka kujikita ktk ujasiriamali.
Unaamanisha wale kamata fursa kumbe fursa ni wewe muudhuriaji?[emoji1][emoji122][emoji122][emoji122]
Pia serikali iwabane hao wanaojiita sijui nn speakers....kuwatumia wenzao kama mtaji,
Kiukweli elimu inahitajika sana tena kubwa kwenye hizo sekta hasa kwa vijana wanaotaka kujikita ktk ujasiriamali.