Business start up advisors......

Business start up advisors......

Rebeca 83

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Posts
15,136
Reaction score
32,268
hello JF,

kuelekea uchumi wa kati......

ningependa kuona wizara ya kilimo,biashara na science/technology....

wanakua na watu wao,

wa kusaidia watu,wanaotaka kuanzisha biashara zao kwenye hizo sectors

watu wakitaka kufungua business......

wapewe initial guidance...

na pengine kuwa link na potential investors....
 
[emoji122][emoji122][emoji122]

Pia serikali iwabane hao wanaojiita sijui nn speakers....kuwatumia wenzao kama mtaji,

Kiukweli elimu inahitajika sana tena kubwa kwenye hizo sekta hasa kwa vijana wanaotaka kujikita ktk ujasiriamali.
 
Good idea [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
[emoji122][emoji122][emoji122]

Pia serikali iwabane hao wanaojiita sijui nn speakers....kuwatumia wenzao kama mtaji,

Kiukweli elimu inahitajika sana tena kubwa kwenye hizo sekta hasa kwa vijana wanaotaka kujikita ktk ujasiriamali.
Lakini mkuu, halazimishwi kwenda huko ni hiari yako mwenyewe au sio?
 
[emoji122][emoji122][emoji122]

Pia serikali iwabane hao wanaojiita sijui nn speakers....kuwatumia wenzao kama mtaji,

Kiukweli elimu inahitajika sana tena kubwa kwenye hizo sekta hasa kwa vijana wanaotaka kujikita ktk ujasiriamali.
Unaamanisha wale kamata fursa kumbe fursa ni wewe muudhuriaji?[emoji1]

Wanajiita motivational speakers
 
Rebeca umeongea kitu muhimu sana kwa sasa unapoanza biashara ili uanze vizuri unahitaji business development advisor,tax advisor na marketing planner mzuri.

Sasa basi kama huna uwezo kipesa jifunze mwenyewe issue za business development na marketing kupitia SME information portal ya Tanzania ni bure, jifunze marketing technique kupitia mitandao mbali mbali.
Issue ya tax ni serious sana kwa sasa kama unaanza biashara ndogo watafute vijana wanaofanya shughuli hizo watakupa ushauri kwa gharama nafuu.
 
Back
Top Bottom