Bustani nzuri/landscape ideas

Bustani nzuri/landscape ideas

1738550376498.jpg
 
Idea ni nzuri, ila huku uswahilini nyumba za kupanga, pakuweka iyo bustani Sasa!!
Nadhani tuende mbele turudi nyuma ila ukweli ni kwamba kitu kizuri chochote kinahitaji HELA.

Huwezi kuweka garden nzuri kama hizo pichani kama huna HELA. Kwanza kutunza tu hiyo garden unaweza kuta gharama yake ni hela ya kula mwezi mzima.

Ila binafsi napenda sana mazingira kama hayo na ninajitahidi mno kuyatengeneza kwangu.
 
Back
Top Bottom