Bustani ya Edeni ipo wapi?

Bustani ya Edeni ipo wapi?

Hckcode8

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2016
Posts
370
Reaction score
245
Habari wakuu

Naomben msaada juu ya hili hivi bustani ya edeni ipo mbinguni au ipo duniani????

"Ingawa Mimi naamini ilikuwepo duniani ila ikaja kuaribiwa na gharika"...

Nawasilisha
alban
 
Ilikuwaga IRAQ mkuu, sijui kama bado ipo hadi leo
 
Habari wakuu

Naomben msaada juu ya hili hivi bustani ya edeni ipo mbinguni au ipo duniani????

"Ingawa Mimi naamini ilikuwepo duniani ila ikaja kuaribiwa na gharika"...

Nawasilisha
alban
Kwa nimi navyojua...hii bustani ilikuwepo duniani...wachunguzi wanasema ilipatikana maeneo ya Middle East hasa hasa Iraq....
Ila kwa sasa haipo hiyo bustani ilishaharibika.

ASANTE
 
Ipo Iraq. Ukisoma Biblia, bustani ya Eden ilikuwa katikati ya mto Frati na Tigris. Tazama ramani yako utaona mito hiyo (Euphrates and Tigris). Ila kwa leo hakuna Bustani maana baada ya dhambi ulimwengu huu umeharibiwa vibaya...
 
sasa me najiuliza kweny bible wanasema kuna ulinzi mkali umewekw je nan wa kuharibu??
 
Back
Top Bottom