Busu la mdomoni !

Busu la mdomoni !

Safety last

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2011
Posts
4,236
Reaction score
1,411
Sintarudia tena kupiga busu la kwenye ndimi za mtu nimekoma,haya mambo ya kugeuzana mswaki hapana tena baada ya kumkiss ulimi unawasha namna hii siku ya tatu mfululuzo!
 
Umekula ndimi na popo bawa,bado viungo vingne vinavyotoa hewa na kuingizwa vitakuwasha
 
Sintarudia tena kupiga busu la kwenye ndimi za mtu nimekoma,haya mambo ya kugeuzana mswaki hapana tena baada ya kumkiss ulimi unawasha namna hii siku ya tatu mfululuzo!

Nasikitika kukushauri kuwa busu la ulimi/mdomo na mwenzi wako wa kawaida (mke, mchumba) ni sawa; ila suala la kulambana na kila yule unayekutana naye, ukome!!! Mwanzo mwisho!!!
 
labda ana ugonjwa, vunja ukimya umshauri mwende hospitali kwani matatizo yanatokea katika sura tofautitofauti sasa utabadili wangapi ikiwa mwenzako denda ndo furaha yake?
 
duh hii kali kuliko sijawahi kuona labda kama alitafuna pilipili
 
Sintarudia tena kupiga busu la kwenye ndimi za mtu nimekoma,haya mambo ya kugeuzana mswaki hapana tena baada ya kumkiss ulimi unawasha namna hii siku ya tatu mfululuzo!

Hizo ndio vibrations zenyewe.
 
Wewe utakuwa na tabia ya kulamba lamba madenda hovyo!mtu sio mpnz wako wala mkeo unalamba tu,utalamba hata visivyolambwa shauri yako!unafikiri watu wanalambaga tu hovyo,na si kila mtu wa kula nae denda,ukome!
 
Sintarudia tena kupiga busu la kwenye ndimi za mtu nimekoma,haya mambo ya kugeuzana mswaki hapana tena baada ya kumkiss ulimi unawasha namna hii siku ya tatu mfululuzo!
kuwa makini naona unatafuta fungus ya ulimi!!!achana na ulimi siku nyingine uwe unakula masikio!!
 
Sintarudia tena kupiga busu la kwenye ndimi za mtu nimekoma,haya mambo ya kugeuzana mswaki hapana tena baada ya kumkiss ulimi unawasha namna hii siku ya tatu mfululuzo!
una uhakika ulikiss mdomo kweli na sivinginevo
 
Back
Top Bottom