Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
Duh basi ni majanga kha, kwa hiyo wanaona raha!!! Aisee wanaichafua jf jamanimie kuna me nachatig nae pm ananiambia yy ana acc 5 mbili za kike !nikamuuliza why anajifanya mwanamke akasema basi tu nataka nione vidume !yaan naona anafurahia kutongozwa !toka pale namshangaa sana sana !mie nina account hii hii !sijui wanafanya haya ili iwaje !mxiew
Sent using Jamii Forums mobile app