Busu na kufumba macho vinahusianaje

Duh basi ni majanga kha, kwa hiyo wanaona raha!!! Aisee wanaichafua jf jamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anayekupiga busu amefumba macho mtegeshee sindano siku nyingne harudii huo ujinga ataanza kukubusu amekodoa kama paka wa hoteli

Don't mind me
 
Kuna wanaume humu wana id za kike, na trust me ni ngumu kweli kugundua kuwa id husika ni ya mwanaume. Unakuta swaga za kike kabisaaa.
 
Kawaida sana hayo mambo. Kuna mmoja alitafuta kabisa mchumba love connect, akawa anawachora tu wanaume wanaojipeleka pm. Wengine akawapiga pesa. Yaani dunia inakwenda kasi sana.
 
Kawaida sana hayo mambo. Kuna mmoja alitafuta kabisa mchumba love connect, akawa anawachora tu wanaume wanaojipeleka pm. Wengine akawapiga pesa. Yaani dunia inakwenda kasi sana.


kwangu mi sion kawaida espy !nahis km ni ulimbukeni uliozid kipimo jaman ! sijui nmafeel aje!kwakweli nashukuru akili aizonipa mama angu na baba! sitegemei kuwa mpumbavu mie namna hii!abadani
 
Wanawake ndiyo mnafumba macho...

Nadhani mnafumba macho kwa sababu ya aibu, au kuvuta hisia zaidi...

Cc: mahondaw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…