Waambie, ID fake tu mi ni mkimya sana live wengi huniona km mshamba flani iv kuuuuumbe [emoji12] [emoji12] [emoji12]mie nashangaaga jaman mie mbn arts tu najua huyu ke! we espy jaman hv hujui huyu kuwa ni ke jaman !hahah
Hiyo niloquote, na kuna uzi mmoja hivi napo nilikuuliza. Experience ulizokuwa unaziongelea na ulivyokuwa ukiziongelea ni kiume zaidi.mfano?
Lbd tupunguze kufunguka best maana naona km tunaogopesha watu humuhahahaha mie kwa hapo hata uwe mjanja aje najua hapa nachat na nan !mie mwenyewe qweng wanasema arts zangu za kiume heheheheh !uwiii
Yap si Mara ya kwanza, mimi ni ke orijinaliHii ni mara ya pili namuuliza, na sijamuuliza bahati mbaya.
Dah ntapunguza kufunguka basiHiyo niloquote, na kuna uzi mmoja hivi napo nilikuuliza. Experience ulizokuwa unaziongelea na ulivyokuwa ukiziongelea ni kiume zaidi.
Unanigeuka tena best dah nimeumia sana, nakutumia pic basimh huenda !
Lbd tupunguze kufunguka best maana naona km tunaogopesha watu humu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuomba unywe 3 nitalipa kwa tigo pesa
Ooooh!! Basi sawa.ni mdada shoga kaolewa na watoto kbss !