Busuness partner anahitajika haraka!

Busuness partner anahitajika haraka!

FaizaFoxy tax return kwa hapa bongo hebu nieleweshe dada manake na Mie nikusanye makato yangu ya mshahara mwisho wa mwaka nipate tax return? Au hiyo ya biashara is something else?

Hii ya biashara ni nyingine. Hiyo ya binafsi pia unaweza kwa njia zake, pitia tovuti ya TRA.
 
hapo kwenye red ushasema kila mwaka,sasa hawa shughuli wameanza november mwaka jana,na sasa hivi april ata mwaka bado,unajua kabisa ata mwaka bado kama ambavyo umesema kwenye red hapo.

sasa huo ubishi na unachotaka kipi? watu walio serious na kazi washamtumia ujumbe.

Huelewi hizi kazi kijana, tuwachie wenye kazi zetu tufanye tujuavyo. Wewe fanya ujuavyo. Sijui kama ushasikia msemo "bongo bingo".
 
hapo kwenye red ushasema kila mwaka,sasa hawa shughuli wameanza november mwaka jana,na sasa hivi april ata mwaka bado,unajua kabisa ata mwaka bado kama ambavyo umesema kwenye red hapo.

sasa huo ubishi na unachotaka kipi? watu walio serious na kazi washamtumia ujumbe.

Noted,as if I though about this,pamoja na yote there is no way unaweza operate a company bila Kufile returns,unajua Mara nyingi critics ndo wanakuwa siyo buyer wa ideas yani wao ni kukatisha tamaa tu basi
 
Wakuu kitu kizuri ule na wenzako! Tuna Kampuni ya masuala ya "Technologies & General Supply", ni Limited Company by shares. Hadi sasa ina Wakurugenzi wawili tu!
Imesajiliwa kwa taratibu zote za kisheria tangu mwaka jana mwezi August pale Brela, na baada ya kukamilisha nyaraka nyingine muhimu ilianza kazi rasmi mwezi Novemba mwaka jana (2013), kule mkoani Tabora, wilaya ya Urambo. Imepanga nyumba nzima, mtaa wa boma village, barabara ya salama.

Kampuni imesajiliwa kufanya biashara mbali mbali (za kiteknolojia na masuala mengine mbali mbali kama vile usambazaji wa bidhaa, usafirishaji, utalii, madini, kilimo, ujenzi, ukandarasi, ununuzi wa mazao n.k) popote pale nchini. Kwasasa tumejikita katika maeneo machache sana kutoka na changamoto za mtaji kutokuwa mkubwa sana, kwahivi tuna karibisha partnership na kampuni yeyote ile ama mtu binafsi tutakayeweza kushirikiana naye katika maeneo mengine ya kibiashara!
(Unaweza pia kutembelea ukurasa wetu wa facebook ukajionea baadhi ya shughuli tunazozifanya kwa sasa)

Kwa mawasiliano zaidi; 0755 732 981 /0784 324 102
Barua pepe; info@mihambos.com
Tovuti; Mihambos

Karibuni Sana.

(Mods please, naomba u edit Title yangu hapo juu, ni Business Partner wakuu!)

Mkuu Mihambo I understand your situation let God give you what you deserve,I have been through this lot of times ndo mana Kama we are in the same boat hivi.Goodluck in finding the right partner
 
Yes, utakapokuwa tayari kuingia kwenye ubia utapata nafasi ya kupitia nyaraka zote muhimu kupitia mwanasheria wetu!

mtumie hizso nakala bi mkubwa FaizaFoxy mnaweza mkapewa kazi mpaka mkashangaa, acha story mtumie copy ya hizo documents, naongea hivyo nilishawahi kuunganishwa kazi ya maana na mtu niliyekutana naye kwenye basi mpaka leo namheshimu kama baba, hivyo mtu akikuomba docs usisite TUMA!
 
Last edited by a moderator:
Wewe umezoea ubishi tu na upinzani hapa hatuko jukwaa la siasa.

Sasa wewe usiyezoea ubishi na upinzani kwanini unaanza kujibizana wakati nimeshakueleza hapo juu "tuwachie wenye kazi zetu tufanye tujuavyo. Wewe fanya ujuavyo". Ni kipi usichokielewa hapo?
 
Lols kuomba ushauri?you!you just a critic my idea na unaonekana you just like "the arguments"

Tafadhali, tupo jukwaa la biashara na kila mtu ana namna yake ya kufanya biashara. Mbona mnaniingilia? nimeshawaambia fanyeni yenu, wacheni ufataani.
 
Noted,as if I though about this,pamoja na yote there is no way unaweza operate a company bila Kufile returns,unajua Mara nyingi critics ndo wanakuwa siyo buyer wa ideas yani wao ni kukatisha tamaa tu basi

Umejiona ulivyoandika hapo? sasa unaona ajabu nini nikiziulizia nizione kabla sijachukuwa uamuzi wowote. Hapo ilikuwa inatakiwa nijibiwe tu, zipo au hazipo ili twende stage ya pili.
 
Umejiona ulivyoandika hapo? sasa unaona ajabu nini nikiziulizia nizione kabla sijachukuwa uamuzi wowote. Hapo ilikuwa inatakiwa nijibiwe tu, zipo au hazipo ili twende stage ya pili.

Noted at last
 
Umejiona ulivyoandika hapo? sasa unaona ajabu nini nikiziulizia nizione kabla sijachukuwa uamuzi wowote. Hapo ilikuwa inatakiwa nijibiwe tu, zipo au hazipo ili twende stage ya pili.

you are very potential mom, kibiashara kangu kikikua nitakutafuta nijue nasonga vipi mbeleni.

Usisite kunisaidia
 
Sasa wewe usiyezoea ubishi na upinzani kwanini unaanza kujibizana wakati nimeshakueleza hapo juu "tuwachie wenye kazi zetu tufanye tujuavyo. Wewe fanya ujuavyo". Ni kipi usichokielewa hapo?
Hahahaha! Wakuu, mbona mmeugeuza mjadala kuwa wa kisiasa?
 
hapo kwenye red ushasema kila mwaka,sasa hawa shughuli wameanza november mwaka jana,na sasa hivi april ata mwaka bado,unajua kabisa ata mwaka bado kama ambavyo umesema kwenye red hapo.

sasa huo ubishi na unachotaka kipi? watu walio serious na kazi washamtumia ujumbe.

Labda unisaidie nawewe mkuu! Nimeeleza pale juu kwamba tumeanza biashara rasmi Novemba mwaka jana, yeye ameng'ang'ania annual tax returns za BRELA, sijui anashindwa kuelewa kitu gani?
 
mtumie hizso nakala bi mkubwa FaizaFoxy mnaweza mkapewa kazi mpaka mkashangaa, acha story mtumie copy ya hizo documents, naongea hivyo nilishawahi kuunganishwa kazi ya maana na mtu niliyekutana naye kwenye basi mpaka leo namheshimu kama baba, hivyo mtu akikuomba docs usisite TUMA!

Documents zote zipo mkuu, hadi tax clearence ya Jan - March 2014!
Yeye anaongelea "Annual Tax Returns" zinzopaswa kuwasilishwa BRELA kila baada ya mwaka.
 
Last edited by a moderator:
Labda unisaidie nawewe mkuu! Nimeeleza pale juu kwamba tumeanza biashara rasmi Novemba mwaka jana, yeye ameng'ang'ania annual tax returns za BRELA, sijui anashindwa kuelewa kitu gani?

Mkuu mama Feiza yupo sahihi,Mtu yoyote makini kabla haja invest lazima ataomba hizo returns.Nyie ndio hamjamuelewa,na sidhani kama hizo returns ni confidential kiasi hicho kwa stage ambayo hiyo kampuni yenu ipo.

Ukiona mtu anatakaa kuzitoa it's because there is something fishy au hawafanyi hivyo kitu ambacho kisheria si sawa.Kampuni yoyote makini na iliyo na direction lazima iwe na utaratibu wa kufile returns

So wewe mpe tu kama zipo sababu mwisho wa siku hata kampuni kubwa huwa mwisho wa mwaka wana disclose financial statements zao so sidhani kama hizo document ni confidential au zina madhara kiasi hicho
 
Biashara iliyokamili inapeleka tax returns zilizokuwa verified na auditors Brela kila mwaka, haijalishi kama inalipa kodi au ina misamaha ya kodi au inapata hasara au faida.

Hiyo inanipa picture ya how organized the company is. Na inanijulisha assets zake na liabilities.

Inarahisiha kufanya decision, I have my client who is very much interested in doing business in Tabora.

we miyeyusho nani umesikia yupo interested na kulipa kodi bana usiwapotezee muda hao raia hata madowans wanatengeneza mabilions ukiwauliza hawawezi kukupa hizo details direct kama ww unavyo taka, na mambo ya assets hio sio public owned so hawawezi anza kuweka ma assets yao wazi, kama wewe unavyotaka but only ma share holders ndio wanapewa hizo details acha kujishaua as if ni serious business woman kumbe unapoteza muda tu wa mkuu, watu wanajitahidi kujiajili cos kazi zenyewe bongo hazieleweki we maswali mengi kwan we ni polis,
 
Back
Top Bottom