FaizaFoxy tax return kwa hapa bongo hebu nieleweshe dada manake na Mie nikusanye makato yangu ya mshahara mwisho wa mwaka nipate tax return? Au hiyo ya biashara is something else?
hapo kwenye red ushasema kila mwaka,sasa hawa shughuli wameanza november mwaka jana,na sasa hivi april ata mwaka bado,unajua kabisa ata mwaka bado kama ambavyo umesema kwenye red hapo.
sasa huo ubishi na unachotaka kipi? watu walio serious na kazi washamtumia ujumbe.
Huelewi hizi kazi kijana, tuwachie wenye kazi zetu tufanye tujuavyo. Wewe fanya ujuavyo. Sijui kama ushasikia msemo "bongo bingo".
hapo kwenye red ushasema kila mwaka,sasa hawa shughuli wameanza november mwaka jana,na sasa hivi april ata mwaka bado,unajua kabisa ata mwaka bado kama ambavyo umesema kwenye red hapo.
sasa huo ubishi na unachotaka kipi? watu walio serious na kazi washamtumia ujumbe.
Do not judge the book by its cover, kuwa mtazamaji hatukukuomba ushauri.
Wakuu kitu kizuri ule na wenzako! Tuna Kampuni ya masuala ya "Technologies & General Supply", ni Limited Company by shares. Hadi sasa ina Wakurugenzi wawili tu!
Imesajiliwa kwa taratibu zote za kisheria tangu mwaka jana mwezi August pale Brela, na baada ya kukamilisha nyaraka nyingine muhimu ilianza kazi rasmi mwezi Novemba mwaka jana (2013), kule mkoani Tabora, wilaya ya Urambo. Imepanga nyumba nzima, mtaa wa boma village, barabara ya salama.
Kampuni imesajiliwa kufanya biashara mbali mbali (za kiteknolojia na masuala mengine mbali mbali kama vile usambazaji wa bidhaa, usafirishaji, utalii, madini, kilimo, ujenzi, ukandarasi, ununuzi wa mazao n.k) popote pale nchini. Kwasasa tumejikita katika maeneo machache sana kutoka na changamoto za mtaji kutokuwa mkubwa sana, kwahivi tuna karibisha partnership na kampuni yeyote ile ama mtu binafsi tutakayeweza kushirikiana naye katika maeneo mengine ya kibiashara!
(Unaweza pia kutembelea ukurasa wetu wa facebook ukajionea baadhi ya shughuli tunazozifanya kwa sasa)
Kwa mawasiliano zaidi; 0755 732 981 /0784 324 102
Barua pepe; info@mihambos.com
Tovuti; Mihambos
Karibuni Sana.
(Mods please, naomba u edit Title yangu hapo juu, ni Business Partner wakuu!)
Yes, utakapokuwa tayari kuingia kwenye ubia utapata nafasi ya kupitia nyaraka zote muhimu kupitia mwanasheria wetu!
Wewe umezoea ubishi tu na upinzani hapa hatuko jukwaa la siasa.
Lols kuomba ushauri?you!you just a critic my idea na unaonekana you just like "the arguments"
Noted,as if I though about this,pamoja na yote there is no way unaweza operate a company bila Kufile returns,unajua Mara nyingi critics ndo wanakuwa siyo buyer wa ideas yani wao ni kukatisha tamaa tu basi
Umejiona ulivyoandika hapo? sasa unaona ajabu nini nikiziulizia nizione kabla sijachukuwa uamuzi wowote. Hapo ilikuwa inatakiwa nijibiwe tu, zipo au hazipo ili twende stage ya pili.
Umejiona ulivyoandika hapo? sasa unaona ajabu nini nikiziulizia nizione kabla sijachukuwa uamuzi wowote. Hapo ilikuwa inatakiwa nijibiwe tu, zipo au hazipo ili twende stage ya pili.
you are very potential mom, kibiashara kangu kikikua nitakutafuta nijue nasonga vipi mbeleni.
Usisite kunisaidia
Hahahaha! Wakuu, mbona mmeugeuza mjadala kuwa wa kisiasa?Sasa wewe usiyezoea ubishi na upinzani kwanini unaanza kujibizana wakati nimeshakueleza hapo juu "tuwachie wenye kazi zetu tufanye tujuavyo. Wewe fanya ujuavyo". Ni kipi usichokielewa hapo?
hapo kwenye red ushasema kila mwaka,sasa hawa shughuli wameanza november mwaka jana,na sasa hivi april ata mwaka bado,unajua kabisa ata mwaka bado kama ambavyo umesema kwenye red hapo.
sasa huo ubishi na unachotaka kipi? watu walio serious na kazi washamtumia ujumbe.
mtumie hizso nakala bi mkubwa FaizaFoxy mnaweza mkapewa kazi mpaka mkashangaa, acha story mtumie copy ya hizo documents, naongea hivyo nilishawahi kuunganishwa kazi ya maana na mtu niliyekutana naye kwenye basi mpaka leo namheshimu kama baba, hivyo mtu akikuomba docs usisite TUMA!
Documents zote zipo mkuu, hadi tax clearence ya Jan - March 2014!
Yeye anaongelea "Annual Tax Returns" zinzopaswa kuwasilishwa BRELA kila baada ya mwaka.
Labda unisaidie nawewe mkuu! Nimeeleza pale juu kwamba tumeanza biashara rasmi Novemba mwaka jana, yeye ameng'ang'ania annual tax returns za BRELA, sijui anashindwa kuelewa kitu gani?
Biashara iliyokamili inapeleka tax returns zilizokuwa verified na auditors Brela kila mwaka, haijalishi kama inalipa kodi au ina misamaha ya kodi au inapata hasara au faida.
Hiyo inanipa picture ya how organized the company is. Na inanijulisha assets zake na liabilities.
Inarahisiha kufanya decision, I have my client who is very much interested in doing business in Tabora.