The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Masikini wana tabu sana mkuu,Sasa Wachina si watu wa kuftatua? Mwenzio kavaa OG wewe unaenda kutafuta midosho ya china kujifariji. Acha wivu. Sikiliza maneno yake anakupa ujumbe.
Jamaa kaongea ujumbe mzuri sana,
Ujumbe wangu kwa wadada wa JF,
Wadada kama Mwanaume wako nae amepost kufurahia issue ya Chief god love,achana na huyo mtu,atakupotezea muda tu,hakufai.