The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Masikini wana tabu sana mkuu,Sasa Wachina si watu wa kuftatua? Mwenzio kavaa OG wewe unaenda kutafuta midosho ya china kujifariji. Acha wivu. Sikiliza maneno yake anakupa ujumbe.
Yani mtu anafungua uzi ili kujadili kiatu anachovaa Mwanaume mwenzake!Huu muda mnapata wapi watu wa DSM. Haya ndio mambo yalinifanya nikatae kuishi Dar
fakeKwahiyo uyu winga anataka kunipiga?View attachment 3529584
Hahahahaπ€£π€£Huu muda mnapata wapi watu wa DSM. Haya ndio mambo yalinifanya nikatae kuishi Dar
We binti una akili sana nimekupenda bure.Nikifikiria sipat jibu ni wivu ama Nini? Jaman viwe vitu fake ama original hayo ni maisha yake wapendwa watanzania angalia maisha yako utaumia roho Kwa vitu vya watu ambavyo hujui kavipate
Wewe ndiyo unasema hivyo hawafiki 1m ,hao jamaa ukisoma Dashboard zao zinagonga mpaka 60m engagement/views ,just imagine mange anagonga hadi 600m views.Mkuu, sitetei I'm just trying to be objective. Serikali au Abdul wanaweza kununua hayo magari ila hakuna tija unless hao watu ni wajinga viwango vya PHD.
Kwanini apewe huyu bwana wakati nobody knew him prior? Kwamba walikaa chini wakasema tupumbaze wananchi kwa mali za godlove? What's his outreach naamini watu wanaomfuatilia hawafiki hata 1M. Sasa kwanini yeye na hii mbinu?
Pia, serikali inadhani watanganyika ni wajinga kiasi hadi waamini watapumbazwa kwa mali za kuona online tu? In my opinion, this is far fetched. Sioni tija yake hata kidogo.
Wewe ndiyo unasema hivyo hawafiki 1m ,hao jamaa ukisoma Dashboard zao zinagonga mpaka 60m engagement/views ,just imagine mange anagonga hadi 600m views.
Kama waliweza kumpa promo Babu wa Loliondo ambaye alikuwa hajulikani watashindwa kumpromote Chief? Kitengo cha propaganda wapo vizuri wanafanya issue nyingi sana ,hata humu wapo kibao na nyuzi pendwa na nyuzi za kutouch hisia ,mimi nyuzi zao huwa nazipitaga tu maana najua malengo yao.
Haziathiri kitu mkuu ndiyo maana Accounts za Mange Serikali iliomba Meta wazifunge...Maana alikuwa anaweka utajiri/mali za wanasiasa hadharani.Mali za mtu zinaathiri vp mwenendo wa kisiasa nchini? Watu wakiona mali za mtu wanaathirika kivp na ccm wanapata faida gani? Napata wakati mgumu sana kuelewa correlation iliyopo.
Haziathiri kitu mkuu ndiyo maana Accounts za Mange Serikali iliomba Meta wazifunge...Maana alikuwa anaweka utajiri/mali za wanasiasa hadharani.
Mbona nilishaeleza huko nyuma kwa anavyofanya hivyo Chifu lavu ina maana gani na serikali inapenda sana watu kama hao na wengine wanakuwa financed pia ,huyo kama uliona alikuwa anasema toka magetoni ukafanye kazi na yeye anapiga kazi ndiyo maana ana hela ,so anawamotivate Gen Z waone kumbe pesa ipo so GEn watakijitika zaidi kutafuta pesa wawe kama chifu na kuachana kuikosoa serikali.Tunamuongelea Godlove Hapa. Unadai kapewa na ccm/Abdul ili apumbaze watu, nashindwa kuelewa watu wakiona mali za godlove unazosema kapewa na kitengo cha propaganda ccm inapata faida gani? If anything, it works against them kama ambavyo watu hawakupenda kuona ukwasi wa vigogo kwenye pages za Mange. Bado sielewi hii nadharia kwamba godlove kapewa mali ili kupumbaza watu. Kwanini yeye? How does it work? Faida ni nini?
Huo ni ujinga hii ni "social" media ndo maana ikaitwa hivyo ukishapost kitu kwenye 'public social media' expect feedback ziwe positive au negative otherwise asingepost, angemwonyesha mke wake chumbani, unapost kitu kwenye 'social' media unategemea watu wakae kimya acheni ushamba.Yani mtu anafungua uzi ili kujadili kiatu anachovaa Mwanaume mwenzake!
Wanaume tunazidi kupungua kwa kasi ya ajabu sana.
Ndio ni maisha yake, lakini ukitaanika kwenye SOCIAL MEDIA tegemea feedback. Kajifunze maana ya social media kwanza, acha ushamba. Tukifata hoja Yako na wewe basi huna sababu ya kuwashauri watanzania namna ya kutumia social media ni maisha Yao kwahiyo punguza ushauri ishi maisha Yako.Nikifikiria sipat jibu ni wivu ama Nini? Jaman viwe vitu fake ama original hayo ni maisha yake wapendwa watanzania angalia maisha yako utaumia roho Kwa vitu vya watu ambavyo hujui kavipate
Ni umaskin tu ndio mana tuna hasira muda wote na mali alizonazo mtu hata kama sio zake, tutazichambua Hadi tujue ni za nani. Da mange katufundisha ππππππNikifikiria sipat jibu ni wivu ama Nini? Jaman viwe vitu fake ama original hayo ni maisha yake wapendwa watanzania angalia maisha yako utaumia roho Kwa vitu vya watu ambavyo hujui kavipate
Sasa si ungejibu tu kwa ID yako iliyoleta huu uzi? Kwanini uje na ID nyingine?Huo ni ujinga hii ni "social" media ndo maana ikaitwa hivyo ukishapost kitu kwenye 'public social media' expect feedback ziwe positive au negative otherwise asingepost, angemwonyesha mke wake chumbani, unapost kitu kwenye 'social' media unategemea watu wakae kimya acheni ushamba.