Mwananchi Huru
JF-Expert Member
- Nov 20, 2021
- 2,535
- 2,226
Mbona mnakata video nyie wehu. Leta story nzima butiku amekubali maCCM walivurunda afu mnakatakata vipandeMsikilize huyu Mzee ambaye Kwa record zake nyingi amejipambanua kwa ukweli na kuwa mtu wa kuaminika,
Joseph Butiku ni Mzsee Msemakweli na Uelewa mpana.
Msikilize,
View attachment 3418175
hakuna sentensi kama hiyoMsikilize huyu Mzee ambaye Kwa record zake nyingi amejipambanua kwa ukweli na kuwa mtu wa kuaminika,
Joseph Butiku ni Mzsee Msemakweli na Uelewa mpana.
Msikilize,
View attachment 3418175