No SQL
JF-Expert Member
- Nov 8, 2014
- 7,063
- 12,563
Jana nilkuwa misele katika kijiji kimoja huko Butiama na kukuta maandalizi ya sherehe Jumamosi hii, nikajaribu kuuliza nipate undani wa sherehe hizo, nikaambiwa ni vijana wanaenda kukatwa 'mkono wa sweta' mnadani, duh! unakatwa govi mbele ya kadamnasi?
Huu ni ukatili wa kijinsia na pia si salama kiafya.
Wahusika komesheni hii kitu
Huu ni ukatili wa kijinsia na pia si salama kiafya.
Wahusika komesheni hii kitu