Butiama: Oparesheni 255 yapokelewa kwa kishindo, Mbowe akumbana na Mabango, ayasoma na kutoa majibu

Naomba nirudie tena ninachokiamini. Chadema haina tatizo na wafuasi pamoja na wapiga kura. Hata uchaguzi ukifanyika leo chadema itapata kura nyingi mara 20 ya zile za ccm.

Tatizo liko kwenye tume ya uchaguzi. Tatizo Hilo losiposhughulikiwa hata kiungwe mkono na watanzania wote kasoro naibu waziri mkuu itakuwa kazi bure.
Upo sahihi sn
 
Nami naomba nisisitize na kuwek a mkazo kabisa, hii ni hofu tu; dhana isiyokuwa na nguvu tena.

Labda CHADEMA wenyewe watake iwe hivyo.
Hakuna mtu yeyote mwenye ubavu huko kwenye tume anayeweza kuvuruga kura za wananchi zisifanye kazi katika mazingira haya yaliyopo sasa hapa nchini..
 
Naomba nirudie tena ninachokiamini. Chadema haina tatizo na wafuasi pamoja na wapiga kura. Hata uchaguzi ukifanyika leo chadema itapata kura nyingi mara 20 ya zile za ccm.

Tatizo liko kwenye tume ya uchaguzi. Tatizo Hilo losiposhughulikiwa hata kiungwe mkono na watanzania wote kasoro naibu waziri mkuu itakuwa kazi bure.
Nakubali
 
Wana CCM wameanza kumgeuka mama yao kuhusu kuruhusu hii mikutano na kuwapa ruzuku CDM, wanaomba mikutano iwe marufuku na ruzuku wairudishe yote sababu waliikataa mwanzani.

Kazi ni kubwa wazalendo wenzangu, tunakaribia kuzikuta nyama wacha tuendelee na mchuzi.
 
naam!!
 
Back
Top Bottom