Butiama: Oparesheni 255 yapokelewa kwa kishindo, Mbowe akumbana na Mabango, ayasoma na kutoa majibu

Upo sahihi sn
 
Tatizo liko kwenye tume ya uchaguzi. Tatizo Hilo losiposhughulikiwa hata kiungwe mkono na watanzania wote kasoro naibu waziri mkuu itakuwa kazi bure.
Nami naomba nisisitize na kuwek a mkazo kabisa, hii ni hofu tu; dhana isiyokuwa na nguvu tena.

Labda CHADEMA wenyewe watake iwe hivyo.
Hakuna mtu yeyote mwenye ubavu huko kwenye tume anayeweza kuvuruga kura za wananchi zisifanye kazi katika mazingira haya yaliyopo sasa hapa nchini..
 
Nakubali
 
Wana CCM wameanza kumgeuka mama yao kuhusu kuruhusu hii mikutano na kuwapa ruzuku CDM, wanaomba mikutano iwe marufuku na ruzuku wairudishe yote sababu waliikataa mwanzani.

Kazi ni kubwa wazalendo wenzangu, tunakaribia kuzikuta nyama wacha tuendelee na mchuzi.
 
naam!!
 
Dah moyo umefurahi sana โœŒ๏ธโœŒ๏ธ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ