CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 21,737
- 42,892
Katika teuzi za hovyo ambazo Samia amefanya kwenye chama na serikali ni hii ya Kenan Kihongosi na Mwigulu Nchemba hawa watu ni wapumbavu kabisa.
Huyo anayeteua mwenyewe unajua uwezo wake ??Katika teuzi za hovyo ambazo Samia amefanya kwenye chama na serikali ni hii ya Kenan Kihongosi na Mwigulu Nchemba hawa watu ni wapumbavu kabisa.
Sijawahi kuona mhehe mpumbavu kama huyo!Ile siku alipowachapa watu wazima viboko Arusha ilitakiwa kuwa red alert lakini wapi? hakuna lenye mwanzo likakosa mwisho.
Huyu Mzee analeta janja janja hapa.Mpasuko CCM!? Ni ziara ya HOVYOOO! Mzee Butiku amvaa vikali Mwenezi wa chama cha CCM Kenani Kihongosi na ziara yake huko mikoani.
View attachment 3531914