GE2025 Butiku: No reforms no election ni kuvunja katiba ya nchi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hatimaye Mzee Butiku atofautiana na Mzee Waryoba kuhusu "NO REFORMS NO ELECTION" ya CHADEMA.

Mzee Butiku ambaye ni mwenyekiti wa taasi ya Kigoda cha Mwl Nyerere kupitia Kipindi cha DKT 45 kinachorushwa na runinga ya ITV amewataka CHADEMA kuachana na hoja yao ya kususia uchaguzi kwani kufanya hivyo ni KUVUNJA KATIBA ya nchi,

Hebu msikilize wewe mwenyewe,

View attachment 3417207
Mzee kaongea vizuri sana
 
Mzee nae vipi?Anaposema tufanye uchaguzi halafu ndio tujisahihishe anamana gani?Au anamlinda nani?KWANINI TUSIJISAHIHISHE KABLA YA UCHAGUZI?
 
Hatimaye Mzee Butiku atofautiana na Mzee Waryoba kuhusu "NO REFORMS NO ELECTION" ya CHADEMA.

Mzee Butiku ambaye ni mwenyekiti wa taasi ya Kigoda cha Mwl Nyerere kupitia Kipindi cha DKT 45 kinachorushwa na runinga ya ITV amewataka CHADEMA kuachana na hoja yao ya kususia uchaguzi kwani kufanya hivyo ni KUVUNJA KATIBA ya nchi,

Hebu msikilize wewe mwenyewe,

View attachment 3417207
Mzee akili kubwa sana
 
Kwani ni wapi Warioba aliiunga mkono hiyo slogan ya nyumbu?
 
Mhubiri 3:16

Mahali pa hukumu upo UOVU, na mahali pa haki upo udhalimu.
 
Hatimaye Mzee Butiku atofautiana na Mzee Waryoba kuhusu "NO REFORMS NO ELECTION" ya CHADEMA.

Mzee Butiku ambaye ni mwenyekiti wa taasi ya Kigoda cha Mwl Nyerere kupitia Kipindi cha DKT 45 kinachorushwa na runinga ya ITV amewataka CHADEMA kuachana na hoja yao ya kususia uchaguzi kwani kufanya hivyo ni KUVUNJA KATIBA ya nchi,

Hebu msikilize wewe mwenyewe,

View attachment 3417207
Subiri matusi kutoka chadema
 
Ni utaahira mkubwa sana kwenda kupiga kura wakati matokeo tayari yapo INECmaagizo ni kuwatangaza wagombea wote wa CCM kushinda kwa 99%. No Reforms No Election.
 
Huyo sio SI unit ya ukweli watu wakauliwe kwenye uchaguzi halafu useme mje kusahihisha huo ni ujinga tatizo la masisiemu inapokuja kutetea chama chao hawako tayari hoja zingine kwanini tusifanye reforms kabla ya uchaguzi hiyo ndio hoja yamsingi atujibu
 
Hatimaye Mzee Butiku atofautiana na Mzee Waryoba kuhusu "NO REFORMS NO ELECTION" ya CHADEMA.

Mzee Butiku ambaye ni mwenyekiti wa taasi ya Kigoda cha Mwl Nyerere kupitia Kipindi cha DKT 45 kinachorushwa na runinga ya ITV amewataka CHADEMA kuachana na hoja yao ya kususia uchaguzi kwani kufanya hivyo ni KUVUNJA KATIBA ya nchi,

Hebu msikilize wewe mwenyewe,

View attachment 3417207huwaga simuelewi kama ninavyo mwelewaga Jaji Warioba!
Huyu Mzee huwaga simwelewi kama navyomwelewa Jaji Warioba!
Enzi za Mwendazake aliwahi kubariki JPM awe Rais wa kudumu!
Sasa anavyosema No Reforms, No Election ni uvunjifu wa Katiba, ni Katiiba IPI?
Katiba ndo inabariki viongozi wasio tokana na wananchi?
Haeleweki!
 
CHADEMA uelewa wao ni mdogo sana na hasa mwenyekiti wao
Taani ykisema CHADEMA uelewa wao mdogo basi CCM itakuwa ndio imemejaa vilaza kabisa maana CCM ndio imekubali raisa wa nchi nyingine awqjqmbishe ndani ya nchi yao
 
Back
Top Bottom