Butiku: Tunauwoga wa kutoa mawazo tofauti

Butiku: Tunauwoga wa kutoa mawazo tofauti

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Tunako katabia kidogo Watanzania, nadhani kitaifa, 'uwoga' wa kutoa mawazo tofauti, na nadhani nayo ni kasoro, katika demokrasia kila mtu lazima asikilizwe hata kama hukubaliani naye, na umuheshimu atoe mawazo yake mpaka yakamilike na umjibu kwa hoja usimtusi wala kumkashifu, jibu kwa hoja"-Mzee Joseph Butiku

 
Back
Top Bottom