Butiku watanzania wamechoka kuongea ongea bila vitendo! Unapoteza muda wako mzee wetu. Bila katiba mpya ambayo inasimamiwa na chombo huru cha kitaalamu sio makada hali hii itaendelea kubaki hivi. Wanzania wataendelea kuwa na hasira na hiyo unayoita vacuum haitaishia nchini. Watanzania wanataka vitendo sio maongezi ya kitapeli.