Butimba

Jamaa hakutegemea kama zungu angeweza kutoa zile cheche mbele ya namba moja.zungu alisisitiza sana asimuache pale,aende naye tu.
 
Hila hapo butimba kuna wafungwa concodi sana ,vipi jalogoma bado yupo? Jamaa ashalifanya gereza kama geton kwake
 
Zungu (Kalikenye jina lake halisi) ni mkuda balaa namfahamu kwao ni SIRARI ni mkuda!
Anaonekana Mjeuri
Haa πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ€£πŸ€£
Rais Akamnyoa Nyota
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…