miss_blossom
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 1,607
- 2,150
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] 1Vp,Kashainuliwa tayari?au bado
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] 1Vp,Kashainuliwa tayari?au bado
Duuh aiseeAmenyolewa Nyota Moja
Pole zakeAmenyolewa Nyota Moja
Kwa hyo saiv yupo zake visiwani hukoNdiyo Akaweka Sura Ya Kazi [emoji38][emoji16]
Yuko Ukerewe gezeza lipi?New Life In Christ
Ameanza Maisha Huko Visiwani
Nansio, Bukiko Maana Vipo Vingi Sana
Na cheo gani?New Life In Christ
Ameanza Maisha Huko Visiwani
Nansio, Bukiko Maana Vipo Vingi Sana
Sio mbayaSingle Star
Hiyo sura ni wakati anamsikiliza yule mfungwa akimweleza mkuu wa nchi madhambi yake.. Aisee
Hahahhaaahasamahani mkuu.
[emoji23][emoji23][emoji23] hata mimi sikupenda ila nimeinuliwa.
Zungu (Kalikenye jina lake halisi) ni mkuda balaa namfahamu kwao ni SIRARI ni mkuda!Jamaa hakutegemea kama zungu angeweza kutoa zile cheche mbele ya namba moja.zungu alisisitiza sana asimuache pale,aende naye tu.
alisema kweli,kwao sirari,akasema mkuu huyu asimuache,atamuua mule baada ya atakayoyasema.Zungu (Kalikenye jina lake halisi) ni mkuda balaa namfahamu kwao ni SIRARI ni mkuda!