Butogwa shija anaumwa maombi yenu jaman

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu

Kwa kaka zangu shemeji yenu butogwa shija anaumwa sana aisee yaan hata ongea yake siyo nzur aisee, nimeongea naye leo lakin kasema anaumwa mafua hivyo yaan hajisikii vizur kabisa kitu kinachoniumiza kichwa sana mie

Kwa dada zangu wifi yenu butogwa shija anaumwa sana jaman maombi yenu jaman ili wifi yenu apate ahuen

Hasa anasumbuliwa na mafua jama

Kama mnavuojua butogwa shija ndo mchumba wangu ambaye nasubili amalize shule nichukue mzigo niweke ndan kabisa

Maana nikiweka ndan kutakuwa hakuna shida si unajua ana ajira moja kwa moja pale CRDB BANK hivyo itakuwa ni mwendo wa bata batan tu yaan

LONDON BOY
 
Beira hapo nakupa mia
Mtoto mzuri sana
Sasahivi umtangaze humu kama shemeji yetu.
Afu uache zile sredi zako tata ili mtoto ajue we gretsinka
 
Beira hapo nakupa mia
Mtoto mzuri sana
Sasahivi umtangaze humu kama shemeji yetu.
Afu uache zile sredi zako tata ili mtoto ajue we gretsinka
Asante sana mkuu saiv nataka nianze kuandika vitu vikubwa vikubwa tu si unajua yule mtoto ana akili nyingi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…