Butogwa shija bado hujamaliza shule nina mpango na wewe ujue

Butogwa shija bado hujamaliza shule nina mpango na wewe ujue

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana


Kama kichwa cha habar kinavyojieleza hapo juu


Mimi naomba kama kuna mtu humu ndan anafahamiana na dada huyu aitwaye butogwa shija amwambie ninampenda jaman


Kwanza tiar ana ajira bank ya CRDB walishamwahidi ajira kitambo sana

Mimi niko na wewe butogwa bega kwa bega

Nakupenda sana ujue butogwa

Ukimaliza masomo yako wewe nambie mimi niko tiar kubeba mzigo

Usibabaike na hawo wana ume wa dar wala chips njoo kwangu mimi ni mwanaume wa mwanza ngosha imara

12741970_934984066598575_555519779128912096_n.jpeg




LONDON BABY
 
Ila siku hizi ufundi wa kutongoza kwisha kabisa, mtu unaandika vijineno tu sasa hapo umeshawishi nini zaidi ya kuandika CRDB
 
Vyuma vimekaza hadi unatafuta wa kukupa matunzo
Hahaaa kunipa matunzo mkuu unajua kosea njia usikosee kuoa

Na akili za watoto huwa zinatoka kwa mama zao sasa wewe oa mwanamke mbumbubu na watoto nao watakuja kuwa mbumbubu

Si unajua huyu dada ana akili sana
 
Ila siku hizi ufundi wa kutongoza kwisha kabisa, mtu unaandika vijineno tu sasa hapo umeshawishi nini zaidi ya kuandika CRDB
Mkuu huyo hataki maneno mengi kama malaya wewe kama umezoea huko dar wale wala chips kukutongoza kwa maneno mengi sisi huwaga hatutongoz kwa maneno mengi

Kwan hujaona neno NAKUPENDA BUTOGWA
 
Yupo vizuri, lakini huko crdb si pazuri kwa mahusiano, ataliwa tu
 
Back
Top Bottom