Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mawazo yako. Atakuwa anakusubiri wewe tu muda wote.Ushamba wanngu ni upi
Au kutangaza nia mapema ndo ushamba?
Yupo wapNdo maana nimetangaza nia mapema rafiki ili ajue asishoboke hovyo huko aliko
nazan umenielewa ndugu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] . Andika hauna chako.Yuko dar anasoma
Huyu binti anajulikana mbona.Huoni kama ni RISK ku expose picha na jina la mtu sehemu za social networks kama hizi forums zenye watu wengi na wa kila aina, hivi unajua kitu ulichofanya hapa ni cha hatari hata huyo muhusika akijua kama ni mtu mwenye akili sidhani kama atakua na wewe,
Hivi kama mtu wa usalama amemtaman akichukua hio picha na jina na kuifanyia kazi unafikiri ndan ya masaa machache atapatikana halafu kitkachofuata itv ni nini?
Wewe kama.kweli.mwwnaume unaejieewa ungemtunzia privacy yake na pia ungefanya jitihada zako kimya kimya umtafute umueleze uliyokua unataka kumueleza..kwa hivi hii.njia umeenda chaka halaf utaumia badae
Plus DJ sepetu!!......mnakula wake za watu humu JF!!Siwez kubelieve nipe sababu kwanini unasema hivyo mkuu
Mkuu weka picha zingine..Utaanzaje sasa
Huyo hana mpango kabisa na wanaume wa dar
Mkuu wewe utakuwa humujui huyu dadaHuoni kama ni RISK ku expose picha na jina la mtu sehemu za social networks kama hizi forums zenye watu wengi na wa kila aina, hivi unajua kitu ulichofanya hapa ni cha hatari hata huyo muhusika akijua kama ni mtu mwenye akili sidhani kama atakua na wewe,
Hivi kama mtu wa usalama amemtaman akichukua hio picha na jina na kuifanyia kazi unafikiri ndan ya masaa machache atapatikana halafu kitkachofuata itv ni nini?
Wewe kama.kweli.mwwnaume unaejieewa ungemtunzia privacy yake na pia ungefanya jitihada zako kimya kimya umtafute umueleze uliyokua unataka kumueleza..kwa hivi hii.njia umeenda chaka halaf utaumia badae
Endelea kuamini hivyo hivyo.Wewe ni mwanaume wa dar kumbe?
Kwanini unasema hawez baki salama wakati wanaume wa dar ni mdebwedo sana
Huyu jamaa nahisi alikuwa jela ndo kaachiwa janaHuyu binti anajulikana mbona.
Aliongoza mitihani ya kidato cha nne 2015 akifuatiwa na yule mchina Cong Cong Wang.
HahahaVyuma vimekaza hadi unatafuta wa kukupa matunzo