Hahaaa kunipa matunzo mkuu unajua kosea njia usikosee kuoaVyuma vimekaza hadi unatafuta wa kukupa matunzo
kuajiriwa CRDBAisee mkuu mimi sijampendea sura wewe endelea kupendea sura utajuta
Kuhusu kifua huyo dada ana mwili wa kisukuma kwahiyo ni kawaida wala sishangai
kuajiriwa CRDBAisee mkuu mimi sijampendea sura wewe endelea kupendea sura utajuta
Kuhusu kifua huyo dada ana mwili wa kisukuma kwahiyo ni kawaida wala sishangai
Sura ni yake... sio yakoVyuma vimekaza hadi unatafuta wa kukupa matunzo
Mkuu huyo hataki maneno mengi kama malaya wewe kama umezoea huko dar wale wala chips kukutongoza kwa maneno mengi sisi huwaga hatutongoz kwa maneno mengiIla siku hizi ufundi wa kutongoza kwisha kabisa, mtu unaandika vijineno tu sasa hapo umeshawishi nini zaidi ya kuandika CRDB
Mimi sio mwanaume wa Dar ni ngosha pia ninayefanya mishe mishe zangu Dar.Mimi sili chipsi nakulaga michembe.Utaanzaje sasa
Huyo hana mpango kabisa na wanaume wa dar