Butogwa shija bado hujamaliza shule nina mpango na wewe ujue

Wewe na GuDume ni watu hatari sana kwa watu ambao wake zao wapo JF!!.....believe me!!
 
Huoni kama ni RISK ku expose picha na jina la mtu sehemu za social networks kama hizi forums zenye watu wengi na wa kila aina, hivi unajua kitu ulichofanya hapa ni cha hatari hata huyo muhusika akijua kama ni mtu mwenye akili sidhani kama atakua na wewe,
Hivi kama mtu wa usalama amemtaman akichukua hio picha na jina na kuifanyia kazi unafikiri ndan ya masaa machache atapatikana halafu kitkachofuata itv ni nini?
Wewe kama.kweli.mwwnaume unaejieewa ungemtunzia privacy yake na pia ungefanya jitihada zako kimya kimya umtafute umueleze uliyokua unataka kumueleza..kwa hivi hii.njia umeenda chaka halaf utaumia badae
 
Huyu binti anajulikana mbona.

Aliongoza mitihani ya kidato cha nne 2015 akifuatiwa na yule mchina Cong Cong Wang.
 
Mkuu wewe utakuwa humujui huyu dada

Kwanza ni maarufu tanzania nzima hakuna asiyejua jina lake wala sura yeke

Ukigugo lazima umpate hata mimi nimegugo ndo nikaletewa picha yake

alikuwa wa kwanza kidato cha nne mwaka juz

Tupo hapo mkuu
 
Wewe ni mwanaume wa dar kumbe?

Kwanini unasema hawez baki salama wakati wanaume wa dar ni mdebwedo sana
Endelea kuamini hivyo hivyo.
Karibu dar. Sumu haijaribiwi kwa kuiramba.
Huyo keshaliwa zamaaaaaaani. [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Huyu binti anajulikana mbona.

Aliongoza mitihani ya kidato cha nne 2015 akifuatiwa na yule mchina Cong Cong Wang.
Huyu jamaa nahisi alikuwa jela ndo kaachiwa jana

Huyu binti ni maarufu sana ndo maana nimekaba chance mapema

Ili vidume visianze kumufukuzia fukuzia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…