Butogwa shija bado hujamaliza shule nina mpango na wewe ujue

Hahaaa kunipa matunzo mkuu unajua kosea njia usikosee kuoa

Na akili za watoto huwa zinatoka kwa mama zao sasa wewe oa mwanamke mbumbubu na watoto nao watakuja kuwa mbumbubu

Si unajua huyu dada ana akili sana
Sijaona akili yake hata moja!
 

Daahh hawa wasukuma jmn wasije mjini[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…