BUZA BAR FLANI

MR LINKO

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2016
Posts
3,034
Reaction score
3,526
Nimekuta twitter πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

BUZA kuna Bar hiyo meneja wa bar akikuona unanunua Sana bia anamtuma mhudumu akupe na remote ya Tv ukae nayo ubadilishe channel unazotaka Kuangalia
 
Nimekuta twitter πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

BUZA kuna Bar hiyo meneja wa bar akikuona unanunua Sana bia anamtuma mhudumu akupe na remote ya Tv ukae nayo ubadilishe channel unazotaka Kuangalia
Napo kwa mama bonge au kwa mpalange?
 
Usiombe ukute Kuna redio ya Bluetooth wanakwambia uunge simu yako usikilize nyimbo unazotaka!,Sasa wafanye hivyo kwa muumini mtasikilizishwa kwaya mpk mkome..πŸ˜‚
Duuu..unawezatunukiwa tuzo!!
 
πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…