Jamani, yaani huku Buza Tangu usiku Saa Kumi umeme unakata, sekunde unarejea sekunde unakata.
Hivi nyie Tanesco, kama mnakata umeme, si mkate tu ijulikane??? Mambo ya kukata umeme dakika moja unarufi dakika moja unakata, mtatuunguzia vitu bhana.
Sasa imagine tangu saa kumi mpaka sasahivi umeme unakata na kurejea,
Yani ninavoongea hivi ni umeme umetejea, na umekata tena,
Yaani mshatufanya watanzania tuone ni hali ya mazoea tu hii,
Ila bhanae kama mnakata umeme embu kateni moja kwa moja sio mnakata mnarejesha😏😏😏.
TANESCO munazinguaaaaaaaaaa