KERO Buza Tangu usiku Saa Kumi umeme unakata, sekunde unarejea sekunde unakata.

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

MeVSMe

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2024
Posts
270
Reaction score
425
Jamani, yaani huku Buza Tangu usiku Saa Kumi umeme unakata, sekunde unarejea sekunde unakata.

Hivi nyie Tanesco, kama mnakata umeme, si mkate tu ijulikane??? Mambo ya kukata umeme dakika moja unarufi dakika moja unakata, mtatuunguzia vitu bhana.

Sasa imagine tangu saa kumi mpaka sasahivi umeme unakata na kurejea,

Yani ninavoongea hivi ni umeme umetejea, na umekata tena,

Yaani mshatufanya watanzania tuone ni hali ya mazoea tu hii,

Ila bhanae kama mnakata umeme embu kateni moja kwa moja sio mnakata mnarejesha😏😏😏.

TANESCO munazinguaaaaaaaaaa
 
Afu baadae utasikia TANESCO mnakuja kuomba eti tutoe mapendekezo😏😞, tutakuwaga tunafanya kazi ya kutoa mapendekezo na kuyarudia rudia, afu hambafiliki
 
Wamejenga bwawa linazalisha umeme mwingi kuliko uwezo wa nyaya za kusambazia umeme huo

Miundo mbinu ya zamani ( outdated) huku generation kubwa kuna bwawa jipya
 
Jamani, yaani huku Buza Tangu usiku Saa Kumi umeme unakata, sekunde unarejea sekunde unakata.

Hivi nyie Tanesco, kama mnakata umeme, si mkate tu ijulikane??? Mambo ya kukata umeme dakika moja unarufi dakika moja unakata, mtatuunguzia vitu bhana.

Sasa imagine tangu saa kumi mpaka sasahivi umeme unakata na kurejea,

Yani ninavoongea hivi ni umeme umetejea, na umekata tena,

Yaani mshatufanya watanzania tuone ni hali ya mazoea tu hii,

Ila bhanae kama mnakata umeme embu kateni moja kwa moja sio mnakata mnarejesha😏😏😏.

TANESCO munazinguaaaaaaaaaa
Halafu jiulizw kipindi cha jiwe umeme ulikuwa haukatiki na ukikatika kuna maelezo ya boss wa TANESCO
 
Wamejenga bwawa linazalisha umeme mwingi kuliko uwezo wa nyaya za kusambazia umeme huo

Miundo mbinu ya zamani ( outdated) huku generation kubwa kuna bwawa jipya
Sasa si shida hiyo
 
Goba njia nne tumefikiwa, Umeme hakuna
 
Jamani, yaani huku Buza Tangu usiku Saa Kumi umeme unakata, sekunde unarejea sekunde unakata.

Hivi nyie Tanesco, kama mnakata umeme, si mkate tu ijulikane??? Mambo ya kukata umeme dakika moja unarufi dakika moja unakata, mtatuunguzia vitu bhana.

Sasa imagine tangu saa kumi mpaka sasahivi umeme unakata na kurejea,

Yani ninavoongea hivi ni umeme umetejea, na umekata tena,

Yaani mshatufanya watanzania tuone ni hali ya mazoea tu hii,

Ila bhanae kama mnakata umeme embu kateni moja kwa moja sio mnakata mnarejesha😏😏😏.

TANESCO munazinguaaaaaaaaaa
Habari MeVSMe, Asante kwa kuwasiliana nasi na pole kwa changamoto hiyo, tulipokea taarifa ya hitilafu katika line kuu inayohudumia maeneo ya Buza kutoka kwa wataalamu wetu, tafadhali tufahamishe kama bado mnapitia changamoto hiyo kwa msaada zaidi. ^GK
 
Goba njia nne tumefikiwa, Umeme hakuna
Habari Vien, asante kwa kuwasiliana nasi kupitia ukurasa huu na poleni sana kwa changamoto hiyo, kwasasa wataalamu wetu wametufahamisha kuwa huduma imerejea, tafadhali tufahamishe kama bado mnakosa huduma ya umeme kwa ufuatiliaji zaidi. ^GK
 
Tanesco shinyanga mjini boresheni maslahi ya vibarua wamekuja kutafuta ridhiki lakin inapita miez miwili hamjawalipa tendeni wema jamani kazi hiyo inataka moyo sana
 
Back
Top Bottom