Halafu jiulizw kipindi cha jiwe umeme ulikuwa haukatiki na ukikatika kuna maelezo ya boss wa TANESCOJamani, yaani huku Buza Tangu usiku Saa Kumi umeme unakata, sekunde unarejea sekunde unakata.
Hivi nyie Tanesco, kama mnakata umeme, si mkate tu ijulikane??? Mambo ya kukata umeme dakika moja unarufi dakika moja unakata, mtatuunguzia vitu bhana.
Sasa imagine tangu saa kumi mpaka sasahivi umeme unakata na kurejea,
Yani ninavoongea hivi ni umeme umetejea, na umekata tena,
Yaani mshatufanya watanzania tuone ni hali ya mazoea tu hii,
Ila bhanae kama mnakata umeme embu kateni moja kwa moja sio mnakata mnarejesha๐๐๐.
TANESCO munazinguaaaaaaaaaa
Sasa si shida hiyoWamejenga bwawa linazalisha umeme mwingi kuliko uwezo wa nyaya za kusambazia umeme huo
Miundo mbinu ya zamani ( outdated) huku generation kubwa kuna bwawa jipya
๐๐๐๐๐Ukijibiwa nistue
Habari MeVSMe, Asante kwa kuwasiliana nasi na pole kwa changamoto hiyo, tulipokea taarifa ya hitilafu katika line kuu inayohudumia maeneo ya Buza kutoka kwa wataalamu wetu, tafadhali tufahamishe kama bado mnapitia changamoto hiyo kwa msaada zaidi. ^GKJamani, yaani huku Buza Tangu usiku Saa Kumi umeme unakata, sekunde unarejea sekunde unakata.
Hivi nyie Tanesco, kama mnakata umeme, si mkate tu ijulikane??? Mambo ya kukata umeme dakika moja unarufi dakika moja unakata, mtatuunguzia vitu bhana.
Sasa imagine tangu saa kumi mpaka sasahivi umeme unakata na kurejea,
Yani ninavoongea hivi ni umeme umetejea, na umekata tena,
Yaani mshatufanya watanzania tuone ni hali ya mazoea tu hii,
Ila bhanae kama mnakata umeme embu kateni moja kwa moja sio mnakata mnarejesha๐๐๐.
TANESCO munazinguaaaaaaaaaa
Habari Vien, asante kwa kuwasiliana nasi kupitia ukurasa huu na poleni sana kwa changamoto hiyo, kwasasa wataalamu wetu wametufahamisha kuwa huduma imerejea, tafadhali tufahamishe kama bado mnakosa huduma ya umeme kwa ufuatiliaji zaidi. ^GKGoba njia nne tumefikiwa, Umeme hakuna
Unasemaa?!?Tunaangaza maisha yako
Tanesco shinyanga mjini boresheni maslahi ya vibarua wamekuja kutafuta ridhiki lakin inapita miez miwili hamjawalipa tendeni wema jamani kazi hiyo inataka moyo sanaHabari Vien, asante kwa kuwasiliana nasi kupitia ukurasa huu na poleni sana kwa changamoto hiyo, kwasasa wataalamu wetu wametufahamisha kuwa huduma imerejea, tafadhali tufahamishe kama bado mnakosa huduma ya umeme kwa ufuatiliaji zaidi. ^GK