Akili Unazo!
JF-Expert Member
- Feb 18, 2009
- 3,930
- 4,912
Jamani naomba tusaidiane kueleimishana hivi kwa nini tumekuwa tukiwaita wapenzi wetu haya majina haya wakati wanapokuwa wanatoa hiyo mihela ni kwa ajili ya kuboresha mahusiano.
Au ndo maana tunapofanya kosa wakiamua kupiga wanapiga nusu kuua?
Au ndo maana huwa kuna kuwa na migogoro kila kukicha?
Au ndo maana hata kuomba msamaha wakikosa huwa hawaombi kwa kujifanya ni kichwa cha nyumba na wao hawafanyi kosa?
Kuna mdau mmoja humu ndani jina lake linaanza na F yeye alikuwa anaitwa na mpenziwe tembo card, jamaa akashtukia deal akala kona, sasa hivi huyo mwanamke anatuma mesage mpaka jamaa amebadili line ya simu.
Actually inauma sana wewe unampenda mtu halafu akikaa na wenzake anakuita ATM ya crdb haigomi gomi, ikiingizwa tu inamwaga mihela
...... We na nani shost?
Kupiga hakuhusiani na hayo, dada anaweza akawa anakupiga hata kama hakupi kitu.
Kifupi ni kwamba hayo mambo uliyoorodhesha hapo hayahusiani kabisa na kuitwa majina hayo!.
Kuna mdau mmoja humu ndani jina lake linaanza na F yeye alikuwa anaitwa na mpenziwe tembo card, jamaa akashtukia deal akala kona, sasa hivi huyo mwanamke anatuma mesage mpaka jamaa amebadili line ya simu.
Actually inauma sana wewe unampenda mtu halafu akikaa na wenzake anakuita ATM ya crdb haigomi gomi, ikiingizwa tu inamwaga mihela
Shost samahani hapo nimegeneralise vibay eti!!!! ila nilikuwa namaanisha majority.
SIPO
HUYO MTU ATAKUWA NI FIDEL180.
Huyu rafiki yangu anahonga sana, na wanawake wanampenda kwaajili ya hela zake!
Hapa Juzi kati si alisema kuna mwanamke anamnywa shs 70,000/ kwa wiki kwa ajili ya kuseti nywele?
Anaumizwa sana huyu mwenzetu, sijui tumsaidieje!
Kumbe kijana anajifanya humu ndani mjanja kumbe hana lolote,kweli hii maneno haina mpole,mkali,jasiri wala shujaa.hata FIDEL wamemuwekea mirija,mpwa inabidi uje hapa utoe ufafanunuzi.

Sasa ambavyo haziwatoshi hawa watu,unakuta hata mume wake anampa majina hayo.Akiwa na wenzake unamsikia,ngoja ATM yangu ifike ,utaona.kweli unamwita mumeo ATM kweli.wakati tunamsubiri mkuu,
ni kwamba wengine tunajitahidi kuwapenda sana wapenzi wetu kwa kuwapa mahaitaji sometimes sio mpaka waombe, just umepita sehemu umeona kitu kinamfaa unamnunulia, au umemtoa kimtindo hata kama hajakuomba unajua tena wengine tunajua sana kujali teh teh heehhh
sasa akienda kwenye vijiwe vya umbea anaanza kujifagilia na kukuponda kwamba wewe ATM!, jamani wanawake wengine sijui wabebejwe!., usipomhudumia anakwambia wewe mkono wa birika, aaarrrrrggggh.
huyu jamaa naona hayupo hapa, ngoja nimpigie aje bana ajibu hizi tuhuma coz zinamuhusu.
hold on nimpigie.......
Kumbe kijana anajifanya humu ndani mjanja kumbe hana lolote,kweli hii maneno haina mpole,mkali,jasiri wala shujaa.hata FIDEL wamemuwekea mirija,mpwa inabidi uje hapa utoe ufafanunuzi.
wakuu, muheshimiwa F kasema kwa sasa itakua ngumu kuja kusema chochote kwa kuwa yupo ANAJIEXPRESS kwenye ule mtandao mpana kama kawaida yake, so anaomba mvute subira.
..... Pole mama usije ukashambuliwa kama PakaJimmy na wanawake wachafu lol
Wanawake tuwapende tu hivyo hivyo maana maneno yao kwa kweli ukiyasikia unapata kichefuchefu.wengine tunawasaidia mambo muhimu lakini matokeo yake sasa hapo!