Buzi;ATM; Saccos;

Buzi;ATM; Saccos;

Fidel nimekuona umeshafika kuna hoja yako inakusubiri na wadau wanasubiria mchango wako

ngoma nzito kwa mkuu leo!,
kakimbia kabisa, yuko kule kwenye mchanganyiko, hii hoja inamuhusu!!
ngoja nimbip kwanza..........
 
yupo hata kwenye thread hizi za mahusiano na mapenzi cha ajabu hii hataki kuchangia kweli anasubiriwa
 
huko huko aliko nimeshamuwekea link afike hapa bila matatizo!
 
Jamani nitajibu hoja kesho kifungu kwa kifungu hoja kwa hoja.
 
Mwanaume ukiitwa ATM ujue hakuna penzi hapo! Ujue unatumiwa tu.
Mwanamke aliyekamili na kumuheshimu mwenzi wake hawezi kumuita mwenzi wake ATM, buzi, saccos. Majina haya ni kwa wenye mapenzi ya kuhit and run ambao hawana future yoyote.
 
Majina haya ni kwa wenye mapenzi ya kuhit and run ambao hawana future yoyote.

Ukihit na kurun huyo kipoozeo anakuwa hajakusoma vizuri kama ni ATM au CASHIER lakini ili uhit na kurun inabidi utumie nguvu ya pesa kumpata....unaburudika kisha unasepa mpaka siku ingine tena ukijisikia njaa.
 
luv leo utanipeleka kiwanja gani, mana ndio weekend yenyewe na tarehe zinaruhusu....
 
Hahahaha ukizingatia nimedaka toka asubuhi yaani kalio moja lipo juu juu tu na zinanitekenya sana sijui wapi nikatulie eti kiwanja gani utaona kina faa?
 
............. Inamaana leo uwanja wa fisi Manzese hawakuoni?
 
Hahahaha ukizingatia nimedaka toka asubuhi yaani kalio moja lipo juu juu tu na zinanitekenya sana sijui wapi nikatulie eti kiwanja gani utaona kina faa?

haaa yaani nimecheka balaa....Fidel ma luv hujatulia....
 
Kuokoa maisha na fedha zako oa kabisa ili akuite MUME WANGU.Hapo vipi?
 
haaa yaani nimecheka balaa....Fidel ma luv hujatulia....

Ndo hapo sasa zinanitesa sana yaani hapa kwenye kiti sipo balanced kabisa....ngoja naanzia Traveltine kwa vidole juu nikaangalie mwanamke nyonga nimekumbuka.
 
Back
Top Bottom