Fidel nimekuona umeshafika kuna hoja yako inakusubiri na wadau wanasubiria mchango wako
ngoma nzito kwa mkuu leo!,
kakimbia kabisa, yuko kule kwenye mchanganyiko, hii hoja inamuhusu!!
ngoja nimbip kwanza..........
yupo hata kwenye thread hizi za mahusiano na mapenzi cha ajabu hii hataki kuchangia kweli anasubiriwa
mie natafuta hizo ATM zapatikana wapi??
Jamani nitajibu hoja kesho kifungu kwa kifungu hoja kwa hoja.
Majina haya ni kwa wenye mapenzi ya kuhit and run ambao hawana future yoyote.
Ukihit na kurun huyo kipoozeo anakuwa hajakusoma vizuri kama ni ATM au CASHIER lakini ili uhit na kurun inabidi utumie nguvu ya pesa kumpata....unaburudika kisha unasepa mpaka siku ingine tena ukijisikia njaa.
................Abe!!Hapa kazi ipo.......!
luv leo utanipeleka kiwanja gani, mana ndio weekend yenyewe na tarehe zinaruhusu....
Hahahaha ukizingatia nimedaka toka asubuhi yaani kalio moja lipo juu juu tu na zinanitekenya sana sijui wapi nikatulie eti kiwanja gani utaona kina faa?
Hahahaha ukizingatia nimedaka toka asubuhi yaani kalio moja lipo juu juu tu na zinanitekenya sana sijui wapi nikatulie eti kiwanja gani utaona kina faa?
Kuokoa maisha na fedha zako oa kabisa ili akuite MUME WANGU.Hapo vipi?[/QUOTE]
kesi kwisha!!!!😀
............. Inamaana leo uwanja wa fisi Manzese hawakuoni?
haaa yaani nimecheka balaa....Fidel ma luv hujatulia....