Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 13,864
- 35,079
Kuna taarifa za kufariki mama mjamzito ambaye pia ni nesi. Mdada Huyo alifia hospitalini baada ya madaktari kumuonyesha Kwenye mashine kwamba mtoto wake hachezi na ameshakufa. Mbaya zaidi dada Huyo ni mtu wa medical kwahiyo alipoona tu Kwenye scrini kwamba mtoto wake kafa akapatwa na bp nae akafariki. Wasingemuonyesha probably angekuwa hai maana wangemuoparet salama bila matatizo.