Lawama za kijingaKuna taarifa za kufariki mama mjamzito ambaye pia ni nesi. Mdada Huyo alifia hospitalini baada ya madaktari kumuonyesha Kwenye mashine kwamba mtoto wake hachezi na ameshakufa. Mbaya zaidi dada Huyo ni mtu wa medical kwahiyo alipoona tu Kwenye scrini kwamba mtoto wake kafa akapatwa na bp nae akafariki. Wasingemuonyesha probably angekuwa hai maana wangemuoparet salama bila matatizo.
unatakiwa uyaseme sasa ukiyaficha itasaidia nini?Mengi ya aibu nashindwa hata kuyasema acha nifunge mdomo wangu!
Kama nikijaribu ntachekwa na dunia nzima!unatakiwa uyaseme sasa ukiyaficha itasaidia nini?
na kwa nini useme uma mengi halafu unyamaze?
si ni bora ungekaa kimya tuu kuliko kuishia njiani hivi. kama unaogopa sema nami private tutayaweka hapa.
Na hili ndio linasababisha matatizo kama haya ya uzembe yaendelee kuwepo, umeona jamaa juzi kaandika humu kuhusu tairi ya bombadia na mamlaka imekuja kujibu.
Taarifa yako haijakaa vizuri....Kuna taarifa za kufariki mama mjamzito ambaye pia ni nesi. Mdada Huyo alifia hospitalini baada ya madaktari kumuonyesha Kwenye mashine kwamba mtoto wake hachezi na ameshakufa. Mbaya zaidi dada Huyo ni mtu wa medical kwahiyo alipoona tu Kwenye scrini kwamba mtoto wake kafa akapatwa na bp nae akafariki. Wasingemuonyesha probably angekuwa hai maana wangemuoparet salama bila matatizo.